Kama wewe pia una mke ujuwe huyo mke wa jamaa analipiza kisasi tu baada ya kumfuma mkeo na mumewe.😂
 
Uandishi ovyo na unajiona mjanja hapo
 
Nna daught labda mnitoe ushamna....Et miaka ya 20000 simu wote wawil na pia email ukasave[emoji16][emoji16][emoji16] watu banna kwann udanganye lakini.
Hiyo miaka watu tunachat Internet cafe kupitia yahoo messenger na MSN....
Email ni yahoo.com na Hotmail. com

Ile Uhuru na Msimbazi maduka kibao ya simu. Brand ni Nokia, Samsung, Bird, Sony Ericsson, Motorola etc.

Hiyo miaka Uhuru na Msimbazi kuna mzunguko (round about)

Tatizo ni wewe hukujua namna wengine walivyo kuwa wanaishi.
 
Dah Kweli mbeife ilipata tabu sana[emoji28] kwakweli sijaelewa ,
 
Hii story inaboa sana mwanzoni hasa aina ya lugha ya uandishi aliyoamua kutumia mwanzoni then mwishoni ndio inanoga maana ameandika kiswahili kilichonyooka
 
Nipo Hombolo hapa nafundisha,naomba code za Mwanafunzi wangu PM aisee ili nimsaidie asipate sup[emoji1787]
 
Kweli kimejmana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…