endelea mkuu usitukatili..ehew ulijibu akupe nn??
 
Daaaah one among the best story teller big up bro[emoji109]
 
Kaka, I have no doubt about your writing skills and your storytelling skills.

I have never ready a long story like this and complete reading without skipping any word.
 
Malaya yule mwanamke trust me

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Takiwa tunaendelea kula kimasihara tusisahau kucheki na afya wakuu.View attachment 2337092
Hivi huwa mnapenda kupima ili mgundue nini?🤣🤣🤣

Kama una afya imara endelea kuchakata masalia ya watoto wa Mama Samia,maana unaweza kupima ukajikuta unayo ukadhoofisha afya uliyonayo kwa mawazo..kama lengo ni kujua hali ya afya basi ni bora kusubiri ukiwa unahisi unao ndo uende kucheki..hii kupima pima ilihali unaendelea kufanya mapenzi bila tahadhari nao ni ushamba tu kama ushamba mwingine😀😀😀

Kama unapima ukikutwa negative basi acha kabisa mapenzi!!siyo unapima leo kesho unachakata bila tahadhari miezi miwili unaenda kupima tena useless🤣🤣
 
Sema kweli mzeee
 

Mzee kwa sisi wabovu wa ndom, ni mawili tuu: umpime/upime naye au uache na la pili haliwezekani. So tusiogoe tupime nao tupige kwa uhuru!
 
Mzee kwa sisi wabovu wa ndom, ni mawili tuu: umpime/upime naye au uache na la pili haliwezekani. So tusiogoe tupime nao tupige kwa uhuru!
Umenena mkuu[emoji75][emoji16][emoji16] napenda kuwa huru aiseee ndom kwanini ujibane bane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…