Mpwa, lete yako hapa tuone mdada ulivyochakatwa kimasihara, najua ipo japo moja tu..tafadhali mpwa wangu!!
Mpwa mi kimasikhara sina aiseee.
Zote intended.
Yani ni relationships tu zinazozaliwa , kukua na kufa.
Ujasiri wa kimasikhara sinao kwa kweli
 
Wew mkuu hutupangi kweli hapo duuuh kwahiyo mbususu ya jamaa ulikula daaah
 
ahahahahhhaa Uliu utakuwa unakula ka anko ka nani?
Umenikumbusha two scenarios
1. Dadangu binamu aliwahi kukutana na baba yetu mdogo guest house, dada na jamaa yake bamdogo na chepuko lake. Ilikuwa kasheshe! Ba mdogo alimchenjia na mikanda alimtandika. Ila so haikufika home. Na sista angu aliuchuna hakusema pia, ila mikanda alikula.

2. (Ni masimulizi sijui kama ni kweli, ila yanafundisha tu kitu hicho hicho) Dr alikuwa na rafiki yake kijana tu. Aliwahi kuugua akalazwa kwenye one of the dispensaries yule dr anahudumia . So walikuwa wamezoeana sana, kijana anamshirikisha kila kitu story mpk za girlfriends. Akawa anamletea wasichana wengi pale anawatoa mimba na wengine anamuunganishia anawalamba. Ikatokea siku akashare nimepata gal mpya ila ni mjamzito tayari, hata sijafaidi, naomba nimlete. Dr akasema fresh mbona dk sifuri tu atakuwa fresh, mlete kesho. Kesho wameenda dr kaandaa kila kitu mikasi nini gloves, sasa ndo wahusika waingie, Hamaaaad mwanae wa kumzaa.

Sasa ndo wewe.
Kwani mnahisi hao mnaowafanyaia hawana wazazi, kakaz, wajomba nk?
Mi sikupi pole mana ni kweli umejitakia kama ulivyosema
 
Huyo mwanae alikuwa hajui Baba yake anafanyia kazi wapi/sehemu gani?
 
mjinga saana wewe jamaa CHAIIIIIII
 
Katika upuuzi siwez kufanya ni huo wa kwenye "Nnya"
 
mkuu nakuja Pm unipe namba nipo hapa nyanda za juu kusini pia..
 
Wew mkuu hutupangi kweli hapo duuuh kwahiyo mbususu ya jamaa ulikula daaah
sio mbususu yake wanajuana tu, soma tena vizuri.. tena mshikaji ndio alinipanga kuwa demu ana mizigo kama naweza ruka nae niruke nae tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…