Wewe mkuu noma sana uliwapelekea moto wote mdogo na dada duuuh
 
Haha! Hapo inabidi nawe pia umuombe msamaha, maana wewe ndio umekutwa utupu ukiwa na dhamira ya kula mubebe pengine nje ya mkeo au demu wako ajulikanae. Hapo wote wawili mna siri za kufichiana, yeye kuuza mbususu, wewe kununua mbususu na mwanao kuona utupu wako. Kama mzazi toa onyo kali japo sijui utatoa onyo gani maana you sail in the same boat na maisha yaendelee.
 
Ingekua mm ningejizima data nikamla kupunguza machungu [emoji26]
 
Game za kwenye gari zinaleta mikosi hakyanani. 😀😀
 
Tofauti ipo sana, unatumiaje hicho kiungo chako mana kuna wengine ni kama wanatwanga maji kwene kinu alafu kuna wale wanaoijua kazi vizuri.
Kweli kabisa, sisi wanaume tunafeli hapa. Ukijua kuitumia vizuri mashine, mwanamke atanogewa hata kama hakuwa deep kivile kihisia atazama mazima.
 

Hiii aibu ya mwaka pande zote mbili[emoji23]
 
Aaha aisee hii ni balaa Ulikuwa ushavua na nguo daah noma sana...!!
 
Aisee mbona kama mkosii huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah aisee hii movie inatishaa
 
Shangaziiii nawe uko huku? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa naangalia auntyangu [emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya vijana wa taifa hili [emoji23][emoji23][emoji134]
 
Nilikuwa naangalia auntyangu [emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya vijana wa taifa hili [emoji23][emoji23][emoji134]
Hatareeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napendaga sana mapigo hayo ila ss ukileta story humu unaambiwa huyo ni malaya ulimuokota,ila ndio style zangu naenda sehemu kutumia natafuta ya one night stand kesho kila mtu anaendelea na 50 zake
Umalaya wapii wakati ajali tu kama ajali zingine
Wakwende huko...kujitia malaika kumbe hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…