Ndiyo ukweli!! kwa nini hamtaki kusikia ukweli?? tena mlivyo wajinga wengine wana vaa chupi za plastiki zinazo fanana na ngozi ya mtu!! ajabu mtatoka hapo mnashangiliaaa kuwa nyie washindi!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata lile li nzi likuuubwa la kijani linaloishi chooni linajiita ni Bonge la mwanaume!! hivo ukinambia ivo uko sahihi, lkn in apply kwa hao wa kibonde maji kwenu!.........na hizi ni sifa za maskini wengi...hata maneno yako yana kila dalili!!
Sawa!
 
Oya mbona makasiriko, au stori yako ya kupelekewa moto kimasihara imevuja?
 
Zero Conscious katika ubora wako. Umetisha!!
 
Daah ngoja niwe mbadala wa hiari
 
Kwani Joannah alishatupia yake? Nitag mkuu, manake mwandiko wake tu mimi taaban huku kwa wangindo[emoji1787]
Aliliwa na boss wake mzeya sasa hilo simulizi mbona ukimaliza lazima utafute mbususu ujipoze.
Kutag mzee hayo mashikolo mageni kwangu
 
Tumekuelewa ,haya leta kisa ulivyomla mtu kimasikhara,hatutaki blah blah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…