That is not how it works #kwa lafudhi ya kinaigeria
 
Wenye hela hawasemagi tangia zamani mpaka leo wako ivo!!.......huko mbagala kibonde maji joto la mibanano weee nani anataka?? wabane hao hao wala vihepe wenzio!!
Duh, sijisifii ila unatumiwa jumbe na bonge la mwanaume na heshima zake. Hizi Id hizi zikiwekwa wazi mbeeeeengo zitafunguka
 
Hata lile li nzi likuuubwa la kijani linaloishi chooni linajiita ni Bonge la mwanaume!! hivo ukinambia ivo uko sahihi, lkn in apply kwa hao wa kibonde maji kwenu!.........na hizi ni sifa za maskini wengi...hata maneno yako yana kila dalili!!
 
So sababu amekupa pesa na protin ndo umemla[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nyie nyie,,,
 
Samaki na madomo zege hawawezi kukuelewa
 
So sababu amekupa pesa na protin ndo umemla[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nyie nyie,,,
Ndiyo ukweli!! kwa nini hamtaki kusikia ukweli?? tena mlivyo wajinga wengine wana vaa chupi za plastiki zinazo fanana na ngozi ya mtu!! ajabu mtatoka hapo mnashangiliaaa kuwa nyie washindi!
 
We kiazi kweli hata hujui kimasihara nini.
 
Viazi mbatata si ndo chakula chenu hapo jijini DSM, Masangati pale mpaka sasa hivi wenye akili na pesa zao wanakula viazi , kuku,,..... wajinga wala ugali bei rahisi!

wana JF hebu mnisaidie kumuelimisha huyu Viazi/kuku ... na nguna kipi bei mbaya??? ugali humpati demu haaata!! lkn viazi ???faster tu!
 
Ndiyo ukweli!! kwa nini hamtaki kusikia ukweli?? tena mlivyo wajinga wengine wana vaa chupi za plastiki zinazo fanana na ngozi ya mtu!! ajabu mtatoka hapo mnashangiliaaa kuwa nyie washindi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Poleeeee,,, kwa mwanaume akisha mwaga na kutimiza mahitaji yake,, unaonekana kama ka stripper flan tu hv,, hata kama amekupa milion,,, zinatafutwa tu,, ila dignity yako ndo kama ilikuwa hv [emoji288] inashuka hadi kuwa [emoji98]imeisha hyo,,
pesa ain't shit kwetu,, but your dignity is worth alot more kwetu
 
Wenye hela hawasemagi tangia zamani mpaka leo wako ivo!!.......huko mbagala kibonde maji joto la mibanano weee nani anataka?? wabane hao hao wala vihepe wenzio!!
[emoji1787] nimecheka sana. Anataka ukamkule eti
 
Ndiyo ukweli!! kwa nini hamtaki kusikia ukweli?? tena mlivyo wajinga wengine wana vaa chupi za plastiki zinazo fanana na ngozi ya mtu!! ajabu mtatoka hapo mnashangiliaaa kuwa nyie washindi!
Aisee utaniua mbavu zangu Mimi khaaaa [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…