Beach gani hiyo mzeya na mie nije niokote loose ball hizo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama gogo
 
Mkuu inategemeana aliyekua naye mwanzo waliachanaje..sisi ni sababu za kifamilia na tuna mawasiliano mazuri mno na mtoto ana tu bond. Atakaye muoa lazma ashtuke japo kuolewa yule ni ngumu sana
Wee utakuwa unaendelea kumgegeda single mama/ bby mama
 
Sa hivi ukitaka tukosane nitajie ivi vidagaa vya U23 yaan visumbufu.Kwanza havijui kazi zao ata kidogo
Unakuta unakahudumia halafu uko bize unasaka pesa.. kanashindana na wewe eti usipokatafuta nako kana vunga
Mawasiliano tu ni changamoto.
 
Duuh ukiwa na gari ( hirizi ya mzungu) si unawazoa kiulaini kabisa
 
hahahaaaaa eti komwe kama solar panel
 
naka on fleek,........umetisha mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…