Nyie endeleeni kula tunda kimasihara wakati vitu vimepanda bei huko [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji445][emoji445][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye hii story sijaelewa kbs HR ameingia vp kwny hii story
 
We mchafu aise
Duh
 

Ushajiunganisha na maagano ya ukoo wake.damu ya hedhi ni uchafu walitengwa. Kifup unalaana. Tubu ipo Rehema ni kama jinai tu haifutiki ni hadi kizazi cha nne
 
Sasa kwa nini hupokei simu yenye namba ngeni? Hakuna watu mnakera kama ninyi? Kama nduguyo au mkeo yupo kwenye matatizo na wasamalia wema wanakupigia kukujulisha? This is so damn illogical anf arbitrary fuckin choice.
Kila nchi ina vipaumbele vyake, kutopokea sim ni kipaumbele changu broo, kwa hiyo usinifokeee nitatema sasaivi kama Mayele
...shwaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…