Sawa mtafiti Mwandamizi.
 
Pole sana, na ni ngumu kumeza lakini ukweli lazima usemwe hamna wife hapo!! Kwa minajili hiyo 'ukiwepo' utashughulikia wengi kwa ajili ya mkeo, usipokuwepo kaliwa!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliwezesha wakala kuumbuka. Bila wife kunishirikisha nisingejua. Na yawezekana angeliwa. So ni ushirikiano wa wife uliofanya wakala asile. Uwe unauliza kwanza. Maza fanta
 
Tomba masta
 
Aliwezesha wakala kuumbuka. Bila wife kunishirikisha nisingejua. Na yawezekana angeliwa. So ni ushirikiano wa wife uliofanya wakala asile. Uwe unauliza kwanza. Maza fanta

Mimi na wengine ni wasomaji tu hapa, tena tunashauri kwa maelezo ya upande mmoja!! So, unachoeleza ndicho kinatufanya tutoe ushauri, tukusifie au tukuponde.

Story yako imefanya tujue kuwa mkeo ni strong kiasi gani au ana weakness kiasi gani!! Iliyopelekea kuandika nilichoandika!

Mfano: unaposema "kuna jamaa alitaka kula mke wangu" maana yake huyo jamaa alisha win wewe ukashtukia mchakato kabla yaaa...!!

Hiyo quote tu hapo umesema "na yawezekana angeliwa....!", tayari ushaweka kila kitu bayana hata ukinitukana ni wewe mwenyewe umesema si mimi!!

Mkeo ni tia maji tia maji bro!! Weka mbali na rikiboy au Mpembawise 🤣🤣🤣
 
Tena ogopa mtu anayekushirikisha siri zake za kutongozwa
 
Aliwezesha wakala kuumbuka. Bila wife kunishirikisha nisingejua. Na yawezekana angeliwa. So ni ushirikiano wa wife uliofanya wakala asile. Uwe unauliza kwanza. Maza fanta

Nguvu anayo tumia kuku onyesha hayo madudu usifurai kuna kitu anakificha nyuma yake. Kua makini brother usije ukamchoma mtu na mkaa.
 
Mkeo hakujua Mungu je??
 
kamba yako iko very smart

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
dah ..mmaza wa guest manina zake , mpaka alikuja kutugongea mlango , me nani ? , yeye, mwambie uyo apunguze kelele watu wamepumzika ..ila na yule dem nae alikuwa na mifujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…