Nikapiga usiku kucha, nikaunga cha kwanza na cha pili, nikazama chini nikakuta pako tepetepe. Baadaye nikaendelea kumtafuna.

Mwanangu kwenye story za kimasihara ukikosa hizi jumbe jua hiyo ndiyo kimasihara ya kweli!
[emoji23][emoji23][emoji23] kweli mkuu, za kimasihara zile og hakuna sasa hivi. Tunapata za kutoka china tu sasa hivi ndio maana mapambo yanafanana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nliwahi kukesha, mpangaji banda la uani aliingiza goma sa5 usiku. Demu analia mpaka unatamani ukashike miguu... Nna kazi kibao, zile kelele zao nlizisikia wiki nzima kichwani, mpaka siku nilipomuona yule demu ndo ikatoka, maana yeye na sauti ile ni vitu viwili tofauti.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lazima wewe ni mwalimu au ulikua
 
Mwanangu, we ni mwandishi mzuri sana, nimeipenda lugha chombeza ulotumia, ila kwa maana ya kula tunda kimasikhara hujala mana ilitake time hadi kumgegeda. But big up man kwa uandishi ulotukuka
Unatuambia kuwa Chai imenoga kwa viungo mahsusi kama tangawizi, mdhalasini na iliki [emoji1787][emoji1787]
 
Qmmae wakala wa kukatisha tiketi uliyetaka kumla wife kimasihara. Nilikushughulikia mpaka kidogo kibarua kiote nyasi. Mbwa ww.
Ulijua umenikomoa sio na umeona haitoshi umekuja huku kunianika,sasa nakuapia mkeo nitamtafuna na kwa mpalange ataenda.
 
Confidence ndiyo kila kitu mzee, pia jitahidi kuwa mcheshi, unamchekesha mwanamke hadi anajikuta yupo kitandani kwako.
Hapo kwenye kumchekesha mwanamke nina mapungufu sana na hiyo kitu, huwa najiuliza nifanyeje ili niwe na mastory ya vituko ili kuwachekesha hawa watu sipqti jibu. Sina hiyo taaluma. Hebu nipeni.maujuzi basi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
kun kuna pisi zina kelele hadi sio vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…