Salute mzeee mbaba.... !
 
Mkuu huo uongo ni upi?

Kuna dada mmoja wa duka la dawa mzuri sana namlia taiming, sema karibu na duka lake kuba boda boda wanapaki alafu kuna watu huwa wanamtamani kiasi kwamba hua hatoi namba kabisaa,
Anza kuwa unanunua dawa kwake kila siku kama za 10k au 20k halafu unaenda kuziuza sehem tofauti kwa bei hiyohiyo uliyonunulia ili ujenge mazoea nae ...
 
Umetuwakilisha vzr sana Kaka [emoji1376][emoji1376]
 
Wananchi wa jimbo la kimasikhara tumepokea taarifa yako kwa uzuri kabisa.



Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Umekula mali ya watu unataka kujipa na mtoto [emoji23]
 
Hahaha huyo kakudanganya. Wadada wa tanga ndio walivyo. Wanavaa baibui lakini wapo on mission

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Chakula vipi?

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
 
Story Haina nukta Wala koma.
 
Nipende kusema jana nimetunukiwa tunda na huyu binti kisura dahh acheni nyie huyu mtto anasura nzuri sana jmn ila shape sasa ni ile ya kichaga[emoji28][emoji28]
 
dah wanawake wenye curiosity kama hawa wapelekwe dubai
 
Nina kimasihara tatu

Moja ya 2004 au 2005 hapo Ngorongoro,wallahi mtoto anavalisha condom kwa mdomo,Angel was a fuckin whore.

Ya pili 2009,Aisha was another slut ana mtako sio wa nchi hii,mchagga huyu nlikutana naye sumbawanga natoka Kirando kwenda swax hatukuwa tunajuana lakini tulishuka tumeshikana viuno kama wapenzi.

2015 nlienda mwanza kumuona mgonjwa Bugando alikatika mkono kwenye ajali ya zuberi singida,nikafikia lodge nyegezi na binti naye alikuwa amefikia pale,kilichotokea chumba changu kililala kitupu nikahamia kwa binti,sikumbuki jina lake ila mechi ya Aisha na binti mwanza nliuza.Wa mwanza alikuwa binti wa bukoba nlipotezaga namba zake Na kesho yake alikuwa anaenda kagera nikamsindikiza asubui.

Zipo nyingi lakini ntaleta hizi kwanza nikiwa na muda wa kuandika kwa utulivu.
 
Ni kwel kabsa itabidi upate muda wa utulivu, mwandiko wako tu unasadifu kukosekana kwa utulivu katika kuandika hii summary..[emoji119][emoji28][emoji28]
 
Legend kama Legend
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…