Siku akidaka mimba uje uanzishe uzi Mkuu, usisahau.
 
Haya ndio masikharaaa ya huruma sasa. Vip dem upo nae au ushambwaga
 
Hahahahaha.........sawa Boss

Mimi natoa tip ya Vocha ya shilingi 10,000 iwapo tutapata kisa Cha kusisimua kutoka Kwa mdada mmoja humu, kisa hicho lazima kiandikwe kuanzia tarehe ya Leo kisiwe kisa Cha nyuma ambacho atakuwa ameshasimulia.
@cocastic kuna zawadi hapa
 
We ni msimulizi mzuri ankaliii!!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Tukiacha kula masihara pia tunakumbushana



Note



Ukimuita demu guest usimwambie guest gani wewe lipia chumba toka nje tembea kaa eneo tofauti na guest haionekani msubirie akija nenda nae


Asiwe anachezea chezea simu usiruhusu ilo kabisa akifika akitaka aishike jifanye ume mind mwambie weka simu mfukoni uzime sitaki usumbufu mimi




Kuna jamii na sehemu nyengine za kifala sana hasa hawa wanyantuzu wa huku baridi nilipo kwa sasa
 
Hahahahah vipi Mkuu walikuundia zengwe nini
 
Mkuu mabaharia tumekubaliana tumtoe yule sanamu wa pale posta tukuweke wewe au kama itakupendeza basi tuzungumze na chui jike sura yako ikae ktk noti ya teni [emoji2][emoji2]
 
Hahahahah vipi Mkuu walikuundia zengwe nini
Hapana kiongozi nimeshuhudia ya kuchekesha

Eti kaka mtu anamfumania dada ake alio olewa na mwanaume mwingine anadai fidia [emoji1787][emoji1787]



Chengine demu uliyemtongoza usimuamini

Ila huku kuna watu washamba sana sema mademu wenyewe Mapepe eti ukimuhudumia demu ndio mke wako kwahyo akisimama na mwanaume kidume unaleta vurugu
 
Kwani kimasihara hadi upewe tips mkuu mi nataka aliwe kimasihara, ni mnene wa wastani, anachura wa wastani, pia mzuri mzuri hivi
Akijichanganya kwa wakulungwa ataliwa kimasihara tuu, au atatunuku tunda ata kwa ex au rafik.
na ata akishaliwa hautajua mkuu.
 
Wamekufanyaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…