Naona unakaribia kuwa baba sasa maana kwa mchezo huo lazima atanasa tena kwa kukunasisha. Hakikisha unamuoa huyo Mercury(Hg)
 
Siku ukimpa Mimba ulete mrejesho beki 3 Mimba huwa hazichezi mbali
 
subiri mimba tu sasa
 
Wanao achaga wanawake hawapo hivyo, utakufa kwa presha shauri zako.
Hapana mkuu, huyu nikimwacha bila sababu atalalamika kwa ndugu, jamaa na marafiki, hawa wote hawataki nimuache na nikimuacha wakinihoji sababu napaswa kuwa na ushahidi wa kutosha

Kwa hiyo sasa nakusanya ushahidi maana nimechukua kadi ya kujiunga na chama cha Liverpool VPN
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Weka namba na utoe code mabaharia wakamsugue upate supporting documents ya kumuacha
 
Ukiwa jobless kamba yako ni fupi always

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah mkuu ile kazi hapana
Yani shimo kubwa alafu ni wale madem wanaoloana sana[emoji23][emoji23]sasa ni kama vile unachakata hewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiandae kulea, pia ondoka home kijana
 
Nimecheka sana we jamaa comedian
 

Jiandae kuwa baba maana wanashika mimba fasta ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…