Uandishi saaafi sana. Hongera mkuu.
Ulikumbuka kinga??

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Me nimemiliki sm ya kwamza mwaka 2004 nikiwa form four ilikuwa siemens mshua alikuwa poa kiuchumi likizo nashinda dukan naficha kdg kdg mpk nikainunua
Sasa nashangaa mtu kushangaa mwenzake kumiliki sm 2011 watu hawalingani maisha aache ushamba
Rafiki yangu alikua mwarabu Alikua ana simu since 2003 lile jeneza lile Nokia!
 
Uongo huo, mm ni mngoni pure, unawapa tu sifa wanawake wa kingoni, nakuuliza swali wangoni wana desturi ya kuwekwa mwali?
Kifup wanawake wa Mtwara, lindi na Tanga ndio tishio ktk sekta ya mauno, sehem zote nimeishi
Anawapigia promo tu bombi nyombi
 
Sio kimasihara[emoji2955]
 
😅😅😅dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…