-Wazee bac ndo ivo nikawa nmekaa pale kweny kiti kile, mawazo mengi, sikujua la kufanya maana nilijua ndo bac tena nshaaibika
-kilichokuwa kinanipanikisha zaidi, Suzanna alikuwa ananiangalia tuu alaf haongei kitu kama dakika tano hv
-mwishowe akafungua mdomo akaongea "Quentin usijali ni jambo la kawaida"
-mm nikawa kimya tuu nmeinamisha kichwa chini, nakuna nywele tuu, sina la kujibu sina la kufanya
-akaongea tena "umesikia Quentin usiwaze sana ni jambo la kawaida"
-mm nikajibu kimoyomoyo "we ushawahi ona wapi mwanaume mkamilifu hasimamishi mashine"?? Huku nikitikisa kichwa na bado nmeangalia chini
-bac tulikaa pale kimya kama dakika 10,
Akaongea tena akasema "kwaio vp unakuja kulala au"??
-nikakaa kimya kidogo, kisha nikajibu kwa sauti ya chini sana "ndio"
-nikawaza kweli nkalale tena pale na yeye, si bora tuu nirudi kule nilipokuwa mwanzo
-nka reason kurudi kule ndo litakuwa jambo la hekima kufanya kuliko kulala nae kitanda kimoja baada ya tukio la aibu lililonikuta
-bac baada ya muda nkanyanyuka nikawa kama naondoka, Suzanna akauliza "unaenda wapi"?? Nkajibu " we usijali" akauliza tena "ww unaenda wapi"?? Nkamwambia "narudi kule nilipokuwepo" bac akakaa kimya, akawa hana usemi, mm nkarudi ile room, nikajilaza kitandani

-Aisee ule usiku ilikuwa mrefu sana, yaan sana, usiku uliojaa mawazo mengi na maswali mengi na kila moja halina jibu

-Alfajiri saa12 chaaaap, ilivofika Nika amka nikaenda kuoga niondoke asubuhi na mapema
-nikaenda kumuaga Suzanna ambae bado alikuwa amelala, akanambia "mbona unaondoka mapema ivo"??, nikamjibu kwa sauti ya chini sana huku nikiangalia pembeni sikutaka kumwangalia usoni, nkajibu "we usijali", akauliza tena "si usubiri tunywe chai"?? Nkamjibu tena kwa sauti ya chini "we usijali"

-Bac mm chaap nkachanganya miguu, nkatafuta usafiri, Huyo hadi home

-nilivofika home mawazo yakawa mengi sana, na sikupata amani kabisa, nilivoshika simu nkakuta SMS ya Suzanna akisema eti "Quentin usiwe na mawazo sana, sina fikra mbaya juu yako" nkajisemea kwanguvu pale sebuleni "ww umdanganye nani kum'm'make"

-nkaona tena SMS nyingine inasema "usijali, your secret is safe with me"
Ndo nkaropa tena kwa nguvu pale sebuleni "kum'm'make walahi, demu ashanichukulia hanisi mm"

-nikawa nawaza pale sebuleni, nifanyaje hii hali iishe, bac nkakumbuka kuna mwanang flani ivi tunapenda kushauriana mambo ya ukweli but sometimes tunashauriana hata upumbavu, bac nikampigia simu nikampanga tukio zima lilivokuwa

-bac yy akawaza kidogo, akanipanga akasema "sikia mwanang, we usiogope wala nn, jioni nitakupitia hapo chaap tuu tuende sinza kule mitaa ya bitches, kule ndo itajulikana kwamba ndo tayar ushakuwa shoga au bado"

-nkamjibu "acha us'nge ww mi sio shoga"

-akasema "mi sijui mzee, ila we jiandae tuu hapo tuingie usiku" nkamwambia "haina nomah"

-Bac usiku ukafika tukaingia maeneo, nikatafuta bitch anayenifaa, nkaongea naye vizur, nkamwelekeza kila kitu anachotakiwa kufanya, bac tulivofika room yule mdada akanza mambo yake(nyonya mashine) kwa Bahati nzuri bhana MASHINE IKASIMAMA, ilivosimama nkafurahi hadi nikawa najichekesha(nikajisemea kimoyomoyo "bado nipo kweny list ya wanaume"), yule mdada akaniuliza "vp mbona unacheka"??, nikamjibu "laiti ungalijua mambo yaliyonitokea"
-bac nikapiga kimoja chaap, nikaondoka, sikutaka kuendelea tena maana nilikuwa natafuta tuu ile satisfaction kwamba bado naweza kusimamisha mashine, nilivoona imekubali bac nikajisemea "MISSION COMPLETE"

-nikampitia mwanang, mwanang akaniuliza "enhe vp, shoga au sio shoga"
Nikamjibu "mwanang, mi bado mwanaume, tena mwanaume wa shoka kum'm'make"

-bac zile SMS za Suzanna sikuzijibu aisee, na kuna zingine alituma tena sijazijibu hadi leo.....daaaah! Ndo ivo wazee.
 
Dah wewe jamaa sio mzima[emoji1787][emoji1787]
 
Ilikubidi uombe mzigo siku nyingine Kwa Kwa Suzana ili umthibitishie upo vizuri. Kosa kubwa ni kumuacha bila kumuomba mzigo tena . Msongo wa mawazo unasababisha upungufu wa nguvu za kiume yaani kushindwa kusimamisha hapo inakubidi upate demu anayejua Una msongo gani wa mawazo awe mfariji ndio unaweza kumla vizuri kabisa.
 
Noted...
Ahsante kwa ushauri broo
 
-Sifa mojawapo ya wanaume ni kugundua tatizo na haishii hapo unabidi kutoa na solution la hilo tatizo
-kama umeona kuna tatizo kwangu, toa na solution kaka, sio unalisema kama kejeli sio tabia za kiume hizo
-kama unamjua psychiatrist yeyote mzuri, nipe namba ake nimtafute anisaidie niondokane na Hilo tatizo uliloliona

-by the way, nashukuru kwa mchango wako
 
Bladifaken si ungemtafuta huyo susana tena
Uloweke utambi
 
*****
 
Hii thread imenihuzunisha sana
 
one man down, halafu mbona unarudia neno ushoga kulikoni..?
 
Mkuu mimi naamini kabisa...hawa watu ukiwafanyia wema saana...wanalipa fadhila....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…