Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,687
Kuna mwanamke amenifanyia Kama weweningekua navuta sijui ingekuaje yani. ila mtt wa kike kuvuta bangi haipendezi


aisee hii kitu we acha tu .....ila sio poa mnavyo tufanyia .....na wanawake mlivyo washenzi yaani ukiona jamaa anateseka ndio kimoyo chako kinatulia tuliii ...yaaani unaona maisha umeyapatia mwenyewe 


ila sio mbaya hapa nilipo namlia mingo tu atajaa na yeye kwenye 18 zangu