Nipo hapa, kwa sasa nimehamia mtaa mpya, nimejitakasa, sitaki zinaa, Carlos ni ajenti huyu nyie muendekezeni tuu, *****
Pole sana mkuu uliona uhame kabisa mtaa ukae kwa amani?
pale wangeweza kukuulia hapo🤣🤣
 
Yeah, niliuwa nikiona wananchi ajisiia aibu, moo unadunda , nikawa nahisi shambulio shambulio nimehaa na nimejitakasa mwili na roho
Afadhali amani moyoni mkuu ushauri wa uncle Carlos unaweza fanya ukatengwa na jamii
Na wanachi wakishakuchukia amani inatoweka
hapo itakuwa walikuona mwanaharamu sana
 
Afadhali amani moyoni mkuu ushauri wa uncle Carlos unaweza fanya ukatengwa na jamii
Na wanachi wakishakuchukia amani inatoweka
hapo itakuwa walikuona mwanaharamu sana
Mno, halafu nilikuwa naenda jumuia nakutana ane, yaani hakuna kusali, amani na salama hakuna, tukigonganisha macho naona sooo, akiwa anatunawisha mikono tunywe chai nadindisha, yaani najisikia guilt na ni kama bado namuhitaji
 
Ndio, nimewahi! Kuna kipindi niliwahi ishi wilaya ya Manyoni kwenye kijiji kimoja hivi ndani ya bonde la ufa, jirani na kijimji cha Kilimatinde. Ni kijijini haswa kwa wagogo na nyumba zao za tembe. Hapo Kilimatinde kuna hospitali na pia kuna chuo cha uuguzi. Nilifanikiwa kupata demu ktk chuo hicho.

Hakukuwa na nyumba za wageni enzi hizo hapo Kilimatinde hivyo kula mzigo ilikuwa ni lazima kuingia porini. Kila tulipohitaji kuliwazana kingono na huyo demu ilikuwa lazima tuingie porini. Siku moja tukiwa katika lindi kali la mahaba, tulivulumishwa na siafu ile mbaya. Demu walimng'ata mpaka pale..... mimi walinitambalia na kuning'ata mwili wote. Siwezi isahau hii siku. Hadi leo tunawasiliana a huyo demu.
 
Salama, nimehama mzee nikiwa bado sijamaliza kodi yangu, nilifuata usauri wako wa kikumamae, naona sasa hivi unashauri maboya wameze doxy, na cipro kabla ya kuzama uvinza, mkuu unatumikia kuzimu ipi?? vipi mke wa askari ulimlamba ,matako?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
umeongea point sana hata mimi nakereka na hili
 
aisee had nmesisimka
 
Hapo siafu waliwala kimasihara
 
kwani ua mnataka wenyewe tuwapige na uko status nao wasemaje.
Haijalishi wee picha umechukua wapi, tusichotaka ni udhalilishaji kwanini mnaingilia privacy za watu lol, na unampost tyuuh hujisikii hata mshipa wa aibu na uoga?
wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…