ajali kazini mkuu wahi hospital tu
 
Usisahau kumshauri azingatie kumeza dawa kama hajui status ya afya yake mpeleke aanze dawa mapema
 
Nouma sana, hapa PEP inanihusu...hapa limeshasinzia nataman nimtimue mda huu
hivi viatu vyako havinitoshi, mimi sijui ningemfanya nini, anyway huenda hajui kama ana umeme
bora lakini umetumia ndomu, zinatu save sana aisee
 
Maoni yangu ukipima damu za uchafu au usaha mara nyingi husoma positive, bima damu yake fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni yangu ukipima damu za uchafu au usaha mara nyingi husoma positive, bima damu yake fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, asubuhi hii nmembana amekiri yupo kwenye dawa, ameanza kulia na kuniomba msamaha...naelekea hosp kuanza PEP mda huu, nadhan ntatumia hata miez miwili ili niwe na uhakika...Kwakifupi alipanga kuniangamiza huyu mtu.
 
Daah mdau pole sana lakin Mungu yuko upande wako, tumia tu hizo PEP naamin utakuwa sawa tu, masihara yaendeleee!
 
POLE SANA
 
Aisee, asubuhi hii nmembana amekiri yupo kwenye dawa, ameanza kulia na kuniomba msamaha...naelekea hosp kuanza PEP mda huu, nadhan ntatumia hata miez miwili ili niwe na uhakika...Kwakifupi alipanga kuniangamiza huyu mtu.
Pole sana Mkuu.
 
Hahahaahahaahaha
 
Oohoo pole mzee...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Yani ukaona haitoshi ukapakua mbolea one night mkuu
lakini pole sana mkuu uende VCT kupima ujue moja na utaishi kwa amani
 
Mara nyingi NDOMU zinasaidia,,,,kama ulikuwa mtumiaji mzuri wa Ndomu...uko salama tu,,,wala usiwaze

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Wanafungiwa sana hawapati chance za kujichanganya ndio mimba kwao ni pua na mdomo
 
Nyuma ndo umeharibu maana njia iliyonyepes katika maambukizi ni kula vyombo nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…