[emoji1][emoji1][emoji1]hapo uliposema biu biu umenikumbusha enzi za utoto tulivyokuwa tunaenda kuiba maembe,unakuta embe limeiva biubiu
 
chai
 
Yaani na wewe utafanyiwa hivyohivyo kwa mkeo utat........ombeaw had I na waokota makopo
 
Mnipe jina wakuu
 
fact mzee below 25 haswa chuo wanashida nyingi sababu wanafuja sana pesa, na waliomaliza chuo age hiyo wanashida na pesa maana maisha ya kitaa magumu.....basi wanatafuta wenye kazi au biashara wapate pa kupumulia......
 
Very true...ndio maana mie mawindo ni udsm na ardhi pale. Unakula vitu vya first na second year tuu
 
Unayapatia sana haya mambo mkuu. Ulijifunza wapi legend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…