Mkuu hapo kwenye aye ya mwisho kuna maeneo mengi ya msingi hayakufafanuliwa vyema. Ninashauri uje na part two yake.
Mkuu sidhani kama kuna mahali sijafafanua vyema ila baada ya mwasiliano ya muda na dada alifunguka ni sex addicted person na kumbe wanakikundi chao cha kuchakataana in groups na kiingilio ni uwe na demu sasa mimi ningetoa wapi mtu wa tabia hizo
kwahiyo nikaachana nao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu Mimi ninakushukuru sana kwa bandiko lako. Ingawa limeniacha na shauku kubwa sana. Dah! Huyo mdada mapunda.
 
Ulikula kimasikhara
 
Kanta boy??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…