Kuna jirani yangu ameamia karibuni kwenye nyumba yake sasa yule jiran ana mdogo ake ameliza kidato cha sita lakini hajafanya vizuri mtihani wake wa mwisho hivyo hajaenda chuo kikuu .Naona anamazoea sana na mimi Nyumba yao ina vioo usiku ananichungulia kwenye dilisha lao maan home hakuna fance namlia dolia nimle hata jina lake silijui ntakuja kuleta mrejesho week hii.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 

Nimesimamisha halafu niko Kazini Aiseee...
Kapita Dada mmoja ana Mahips huyoo akaniuliza Kaka Vipi???
Nilikuwa ninesimama sehemu ya Mbele kwenye mashine nimeelekezea Kwenye Desk watu wasione imesimama...
Nikamwambia Safiii....
Jamani Mashine imesimama itabidi nitafute Mdada wa JF tutafunane Somedays to come asiee[emoji39]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] taratibu aisee
 
Mimi sio mtaalamu wa afya ila kwa elimu ya hivi vipimo niliyopewa ni kuwa kipimo kinatoa majibu sahihi ndani ya dakika 15-20 baada ya hapo kuna fragments nyingi zinazoweza kubadili kipimo....sababu mara nyingi kinakuwa exposed to thin air ambayo haiko pure (hatuwezi kuona kwa macho)...components hizi zinaweza kubadili kipimo baada ya dakika 20 za majibu sahihi...Ila kama bado una mashaka kapime tena baada ya mwezi mmoja kisha baada ya miezi mitatu.
 
U
Ulimpaula usiku mzima au sio😅
 
Michepuko mingine haina sifa ya kuwa mpango wa kando... kama hawawezi bora wakatae tu waume/wake za watu ...Maana ya mchepuko ni kula raha tu kimya kimya bila kutambulishana kwa ndugu na jamaa labda kwa marafiki wachache (ingawa si sawa kimaadili).
 
Kwanini umemrudia mara ya pili mwanamke aliyemtukana mkeo???

Kwanini washikaji zako wanaingilia mahusiano yako?ushikaji gani wakuingiliana mahusiano bila kuulizana maswali ya msingi?yaani demu ana waset washikaji zako hlf hamna hata mwana mmoja anakusanua washikaji wote wanakuwa upande wa mchepuko???

Shukuru tu Mkeo nimuelewa ila mzee ulibugi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…