Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

We



Ulipita jkt ww? Kama ndio, kabla ya mabio ya usiku kabla ya rokoo si mnakalishwa chini? Tena muda mref tu!!!
kumbe ouk sawaah, lol wee ni baharia ukawa unpiga mdada wa watu lol.
 
Nipo zangu geto wiki endi nimejilaza baada ya kumaliza kufua mara nasikia sauti ya baba mwenye nyumba inaniita, "Iga nakuomba hapa nje mara moja", nikakurupuka kitandani nikachukua T-shirt yangu niliitundika kwenye kamsumari mlangoni nikawanaivaa huku nafungua mlango ili nitoke nje kumsikiliza baba mwenye nyumba mzee Galagaza. Hapo nje nikakuta mzee Gala kasimama na wageni wawili kwa muonekano wanaonekana ni mafogo flani hivi wa mjini. Mzee Gala akanitambulisha kwa hao wageni ambao ni Injinia J4 na mkewe Mwana, mimi pia nikajitambulisha kwa wageni, kilichofuata ni kwenda sebleni kwa Mzee Gala ili kujua kusudio la kuja la hao wageni.

Kiuhalisia kumsifia mke wa mtu ni dhambi lakini wacha niibebe tu, Mwana ni mtoto mkali ana inye zimejichomoza kama zinataka kudondoka, anamwanya maridadi huku akiachia tabasamu mwanaume kamili lazima uvutike na kusahau kama ni mke wa mtu. Injinia kwa kweli mke mrembo amepata, nafikiri anatamani awe anamfungia tu ndani ili amwone mwenyewe lakini ndo ivo Mwana ni binadamu sio mdori. Mzee Gala akaniambia, "Iga hawa wageni wamekuja wanahitaji kununua kiwanja changu cha hapa pembeni", Mzee Gala akaendelea "tumekubaliana bei tayari na kwa vile mimi mwenyewe ndo Mwnyekiti wa Serikali ya mtaa sihitaji dalali zaidi ya shahidi tu ili tukamilishe, kwa hiyo Iga naomba wewe uwe shahidi yangu", nikamjibu " sawa haina shida mzee".

Basi bana, Injinia akaanza kazi ya ujenzi kwenye kiwanja chake kipya, mara nyingi ununuzi wa vifaa ukawa chini yangu maana alitokea kuniamini sana maana aliona simpigi kwenye bei za vifaa kwa hiyo mara nyingi akawa ananitoa hela za usimamizi. Baada ya miezi mitano nyumba ikakamilika na wakaamia yeye na mkewe. Mara nyingi Injinia akirudi toka kazini hunipigia simu niende kwake, nikifika hapo mkewe anatutayarishia vinywaji mezani huku tukiendelea kutazama muvi na kupiga stori za hapa na pale. Basi miezi mitatu baadae Injinia akanitaarifu anasafiri anaenda Ethiopia kuna kazi anaenda kuisimamia ya miezi mitatu akaniambia niwe napita pita kwake ili kumtoa hofu mkewe maana bado mgeni hapo.

Siku moja mke wa Injinia akanitumia meseji ilikuwa mida ya sa 1 hivi usiku ananiomba niende kwake, nikatoka geto nikafunga mlango nikaenda kumsikiliza. nikakuta geti limeegeshwa nikaingia uku naita "shem upo" , nikasikia sauti toka ndani, "ingia tu shem nipo ndani" Nikafunga geti kwa komeo. Nikaingia mpaka sebleni, shem akatoka chumbani uku kapiga kanga moko tu, wakati anakuja kwenye viti nikawa naona jinsi viungo vya mwili wake vinavyotetema, akaenda kukaa kiti cha mbele yangu, kabla hajakaa inye ikatetema kama limetikiswa, nikajikuta nasema "dah...", shem akauliza, " kwema Iga" huku anatabasamu, nikamjibu "salama tu". Shem akanieleza kwamba chumba anacholala taa imeungua anaomba nikamsaidie kubadili, nikamjibu "sawa", nikaingia stoo nikachukua taa ya ziada tukaenda chumbani kwake, shem akasema " nipe mie hiyo taa nichomeke, wewe nishikie stuli nisianguke", kulikuwa na giza sikumbishia, akaitoa taa ilioungua akaidondoshea kitandani, akaiweka taa mpya ikaanza kuwaka kumbe hatukuzima swichi ukutani, mda taa inawaka nimeshika stuli natazama juu nilichokua nakiona balaa shemu hakuvaa kufuli , mali zote nje nje, akili za kula mke wa injinia zikanikaa kichwani. Akashuka toka kwenye stuli, nami nikasimama kabla sijaongea chochote akanikumbatia akasema " asantee kwa msaada wako", hapo mie mihemko ipo juu joto limepanda kama kawa, shem akastukia utofauti akasema " Iga mwili wako unajoto zuri natamani niendelee kukukumbatia tu", nikamjibu " ila joto tu la hapa Moro", mara ila kanga ikamdondoka , shem hakustuka ndo kwanza akaanza kunipa mate pale pale tuliposimama, nikavua flana yangu na suruali ikiwa na boxa, hatukuchelewesha, kilichofuata ni shoo moja kali na mke wa injinia pale chumbani kwake, nikamwambia inama shemu nione uumbaji huo uku nimekamata inye na jiti limevimba hatari, Shem mwana sio mkavu mda wote kaloa tu hamu ilikuwa haiishi na ukizingatia hajakutana na mmewe zaidi ya mwezi, siku hiyo nililala kwa injinia sa 11 alfajiri nikarudi zangu geto kumbonji huku nikisikitika kwa dhambi niliyotenda.
chai pimbi wewe
 
kumbe ouk sawaah, lol wee ni baharia ukawa unpiga mdada wa watu lol.
Piga Sana madole Atuf...wa watu kutoka njombe.

Kwanza tulikuwa nyomi, ili afande kuona vzr lazima amulike watu usoni (taa ya tulipokuwa tunafolen ilikuwa haitosh/hazitosh kumulika ile nyomi) maana Kuna wakat kuruta walikuwa wana-dodge pale pale wanatokomea kwenye mahanga yaliyokuwa mapya hayajaanza kutumika.


PIGA SANA MADOLE
 
Yaan muda huu imebakia kdogo tuu , Nile tunda kimasihara , asee wadada
 
Nakumbuka miaka hiyo nipo nafanya harakati za kuripoti chuo baada ya kuhitimu kidato cha sita.Siku hiyo nilikuwa safarini kutokea moja ya wilaya za mkoa wa Morogoro kuelekea yaliko makao makuu ya mkoa .Kama mjuavyo jiografia ya mkoa huo kunauwezekani wa kusafiri kwa masaa zaidi ya 8 ndani ya mkoa.Basi bana picha linaanza nipo zangu ndani ya basi siti za karibu na nyuma kando yangu siti ya upande wa pili baada ya kikorido cha kati kakaa mtoto flani hivi wa kiwakhati kapigilia mjuba wake maridadi kweli kweli .Mwanzoni mwa safari hatukua na mazungumzo yoyote zaidi ya kuinjoy harufu nzuuri ya marashi kutoka ktk mavaz yake.Kwa muda mrefu mrembo yule alikuwa bze kwa kuongea na simu na washikaji ,pia kuchat kama kote.Duuuuuh kimsingi alinivuruga sana kwani kila nikitafuta gia ya kumpigisha story anajibu kwa ufupi then anaendelea na mingo zake .Basi bhana tukafika mbuga ya mikumi so ukawa ni mwendo wa kuinjoy wanyama wa pale kupitia hapo ndipo alianza kuniuliza maswali kuhusiana na sifa na tabia za baadhi ya wanyama ,wakuu kiukweli mm cna udhoefu sanaa na wa wanyama pori so nikatumia mbinu za kivita kujibu maswal yale hapo usiniambie mbinu gani.Kukaibuka mjadala mziitoo kisha stori nyingine nyiiingi zikafuata .Basi bhana wakati tunakaribia stand kuu ya mabasi yapale mji kasoro bahari nakumbuka yalikuwa majira ya saa moja kasoro ya usiku nika mtania vp tukalala wote lodge then kesho ukaenda huko kwa sister ako hakunijibu kitu.Pasi na shaka ndinga ikazikamata round about ya pale karibia na na msamvu mara ngoma ndan stand .Mzee baba nikashuka huku nikiwaza namna ya kukata tiket kwajil ya safar ya kuelekea jiji la miamba siku iliyo fuata.Basi bhana kwa time hiyo sikuwa na wazo lolote kuhusu yule ndada wa kwenye basi ,nikaenda kwenye moja ya ofisi za kukatia tiketi ya kampuni ya mabasi niliyo penda kusafiria kwa safari za kwenda kanda ya ziwa,wakati nipo katika msululu wakuingia ndani ya ofis ile kutazama pemben namuona yule mrembo wa kwenye basi moyo ukalipuka paaaaaaa!!!!! Kwamshituko nikamuuliza vp hakujibu kitu zaidi ya kutabasam huku akiinama chini .Basi bhana nikakata tiket nikatoka nje ya ofisi nikamkuta kasimama palepale ,nika mwambia kwa ujasili sasa twenzetu tukapumnzike?mtoto akaunga msafara haoo mpaka lodge moja pale karibu na stand chap nikachukua chumba na dhana kama boksi mbili.Tuliingia chumban mtoto kaingia kuoga katoka na moko khanga huku ikiwa imeshikana na mwili kutokana na majimaji aiseeee asikuambie mtu .Nikajikaza na mm nikaenda kuoga kilichofuata Duuuuuh sikikumbukagi sana zaidi ya kesho yake kunusurika kuachwa na basi .Duuuuuh mrembo yule hata namba hatukupeana ila popote alipo akachukue Pepsi ya bariiid kwa mangi kisha nitamlipia.
 
We



Ulipita jkt ww? Kama ndio, kabla ya mabio ya usiku kabla ya rokoo si mnakalishwa chini? Tena muda mref tu!!!
Mara mchana mara usiku INTERNATIONAL TEA
JamiiForums1842265118.jpg
 
Nakumbuka miaka hiyo nipo nafanya harakati za kuripoti chuo baada ya kuhitimu kidato cha sita.Siku hiyo nilikuwa safarini kutokea moja ya wilaya za mkoa wa Morogoro kuelekea yaliko makao makuu ya mkoa .Kama mjuavyo jiografia ya mkoa huo kunauwezekani wa kusafiri kwa masaa zaidi ya 8 ndani ya mkoa.Basi bana picha linaanza nipo zangu ndani ya basi siti za karibu na nyuma kando yangu siti ya upande wa pili baada ya kikorido cha kati kakaa mtoto flani hivi wa kiwakhati kapigilia mjuba wake maridadi kweli kweli .Mwanzoni mwa safari hatukua na mazungumzo yoyote zaidi ya kuinjoy harufu nzuuri ya marashi kutoka ktk mavaz yake.Kwa muda mrefu mrembo yule alikuwa bze kwa kuongea na simu na washikaji ,pia kuchat kama kote.Duuuuuh kimsingi alinivuruga sana kwani kila nikitafuta gia ya kumpigisha story anajibu kwa ufupi then anaendelea na mingo zake .Basi bhana tukafika mbuga ya mikumi so ukawa ni mwendo wa kuinjoy wanyama wa pale kupitia hapo ndipo alianza kuniuliza maswali kuhusiana na sifa na tabia za baadhi ya wanyama ,wakuu kiukweli mm cna udhoefu sanaa na wa wanyama pori so nikatumia mbinu za kivita kujibu maswal yale hapo usiniambie mbinu gani.Kukaibuka mjadala mziitoo kisha stori nyingine nyiiingi zikafuata .Basi bhana wakati tunakaribia stand kuu ya mabasi yapale mji kasoro bahari nakumbuka yalikuwa majira ya saa moja kasoro ya usiku nika mtania vp tukalala wote lodge then kesho ukaenda huko kwa sister ako hakunijibu kitu.Pasi na shaka ndinga ikazikamata round about ya pale karibia na na msamvu mara ngoma ndan stand .Mzee baba nikashuka huku nikiwaza namna ya kukata tiket kwajil ya safar ya kuelekea jiji la miamba siku iliyo fuata.Basi bhana kwa time hiyo sikuwa na wazo lolote kuhusu yule ndada wa kwenye basi ,nikaenda kwenye moja ya ofisi za kukatia tiketi ya kampuni ya mabasi niliyo penda kusafiria kwa safari za kwenda kanda ya ziwa,wakati nipo katika msululu wakuingia ndani ya ofis ile kutazama pemben namuona yule mrembo wa kwenye basi moyo ukalipuka paaaaaaa!!!!! Kwamshituko nikamuuliza vp hakujibu kitu zaidi ya kutabasam huku akiinama chini .Basi bhana nikakata tiket nikatoka nje ya ofisi nikamkuta kasimama palepale ,nika mwambia kwa ujasili sasa twenzetu tukapumnzike?mtoto akaunga msafara haoo mpaka lodge moja pale karibu na stand chap nikachukua chumba na dhana kama boksi mbili.Tuliingia chumban mtoto kaingia kuoga katoka na moko khanga huku ikiwa imeshikana na mwili kutokana na majimaji aiseeee asikuambie mtu .Nikajikaza na mm nikaenda kuoga kilichofuata Duuuuuh sikikumbukagi sana zaidi ya kesho yake kunusurika kuachwa na basi .Duuuuuh mrembo yule hata namba hatukupeana ila popote alipo akachukue Pepsi ya bariiid kwa mangi kisha nitamlipia.
Mzee pengine hata jina hukutaka kulijua
 
Nikiwa chuo mwaka wa pili! Nilikua naenda bagamoyo kwa mshkaji kufuatilia ishu flani. Nikapanda kibasi jioni na kwenye siti nikakaa na mdada, nikamsalimia akaitikia then akachukua earphones zake akaweka masikioni, akafumba macho na kutulia tuli. Nikawa namcheki tu, alikua na sura flani tamu tamu. Bahat mbaya gar ikazingua njian so tuliingia bagamoyo usiku kwenye mida ya saa 3 hivi! Nikashuka na kuanza kuondoka, mara nasikia kaka samahan, nikageuka nakuta ni yule dada. Nikamuuliza vipi kuna shida? Akaniomba kama mimi ni mwenyeji nimsaidie kumuonyesha hotel nzuri yeye ni mgeni na hana mwenyeji, kaenda pale kwaajili ya kutalii tu. Nikamwambia freshi, hao tukaanza kutembea. Tulizunguka karibu hotel 3 zote zimejaa. Basi nikamcheki jamaa ili anielekeze hotel nyingine, akanielekeza. Sasa tukakosea njia bwana, tukapita sehem kumbe kuna mbwa wengi wanabweka balaa na wakawa wanatufuata kwa nyuma. Aisee yuke manzi alinirukia na kunikumbatia kwa nguvu huku anapiga yowe. Nilipata msisiko balaa hata mbwa sikuwajali. Nikamshika vizuri nikamwambia asijali, akawa anatetemeka tu. Bahat nzuri kuna mlinzi akatokea akawafukuza wale mbwa na kutuonyesha mahali pa kupita. Tukafika hotel tukapata chumba. Basi nikawa namuaga kwamba naondoka, akanimbia anaogopa kulala kwasababu bado anahisi wale mbwa wapo karibu yake. Akaomba nikae nae kwa muda kidogo ili hofu imtoke na kama vipi atanilipia chumba nilale palepale. Basi tukazama room, tukaanza story za hapa na pale. Nikapata wazo la kumshtua kuhusu mbwa, aisee alinirukia tena na kunikumbatia kwa nguvu huku akihema na akasema tafadhali usiondoke sitalala. Kimasihara tu, nikaanza kumchokoza anarespond, mwisho nikala mzigo safi kabisa mpaka asubuh! Na nilikaa nae huko bagamoyo siku 3 nakula tu mzigo ( japo ilinigharimu maana nilikosa test ya flani, ikawa msala)
 
Kwa niaba ya Mikito Mikito

GARI YA KUAZIMA

Ilikua ni ijumaa tulivu katika soko kuu moja dsm, watu wakiendelea na shughuli zao za kujipatia msosi wa laka moja wa kujaza tumbo. Nilikua nimefuata matunda na mahitaji madogo madogo ya nyumbani, nilikusanya vitunguu,karoti,hoho,bamia,nyanyachungu katika fuko na kurudi nilipopaki gari ya mshkaji niliyomuazima asubuhi huku nikiwa nachezea simu yangu nikiwa busy na kujibu msg kwa madaha huku nikitabasamu, nilipoinua kichwa kuangalia mbele nilipopark gari nilipatwa na mshtuko wa ajabu baada ya kuona gari ikiwa imegongwa kwa nyuma na gari ingine na watu kadhaa wakiwa wanashangaa, lile fuko nililobeba ghafla liliongezeka uzito na mwili ukakosa nguvu na kujitaidi kusogea karibu na tukio na kuuliza nani amegonga gari yangu..!? ( utadhani gari yangu na dereva aliyegonga alikua bado yupo kwenye gari) Dereva alikua mdada na hapo bado alikua ameshikwa na butwaa ameshikilia usukani huku kabana meno na miwani yake ya kisister duu ( nadhani mnawajua hawa wadada wale maslay queen) nikasogea mpaka mlangoni kwa dereva ya yule dada na nikamuomba ashuke tuangalie uharibifu na tuzungumze kwanza tujue tunafanyaje. Akashuka huku akiwa na wasiwasi na kuniomba awasiliane na mtu kwenye simu, aliongea na simu na kuniomba niongee na huyo aliyekua akiongea nae, sauti ya kike ilisikika kwenye simu.

Simu; Samahani mwanangu naomba muondoe gari na mutafute gereji ya karibu warekebishe kabla ya traffic police hajafika kwa kua huyo slay queen hana leseni ya udereva na alimtuma sokoni mara 1

Mimi; Mi nikajibu sawa kwa unyonge na kumpa simu yake

Akapanda gari na kurudisha nyuma na bampa ya gari yangu ikadondoka chini ( Eti gari yangu) nikaliokota huku nikiwa nashangaa taa za nyuma zilivoharibika na kulining'iniza kwa siti za nyuma na safari ya kuelekea gereji ikaanza. Tulifika gereji moja ambayo slay queen alikua akiniongoza kwa njia na kushuka na kuniambia Don't worry, Everything will be ok. Hapa nilikua nimekunja sura na hawa wadada wa kuvaa miwani navojua wana dharau hua damu zetu ni O na AB, alitoa simu na kupiga na kuanza kuongea na simu na kusogea pembeni. Hapo nilikua nimevimba kwanza hajaniomba hata samahani na wala hajali muda ambao atazidi kunipotezea afu bado anaongea na simu yake macho matatu (kumbe ni Iphone6 ) akarudi ni kuonyesha ishara niongee tena na simu, safari hii nilikataa na kuanza kumtolea maneno machafu na kutoa funguo na kumkabidhi huku nikifoka kuwa ukimaliza utajua pa kunitafuta na kuniletea gari yangu baada ya marekebisho ( nilitaka namimi nionekane kidume pale gereji kidogo kumbe sina lolote nawaza gari la watu litakuaje) akaomba omba msamaha pale u know u know nyingi ooh it was accident.

Tulikaa pale kama lisaa likapita na akaja huyo mdada niliyekua naongea kwenye simu na kunisalimia na kuniomba msamaha na kusema anaomba full matengezo kwa kukubali kuondoa gari bila askari kufika na kuniomba tukakae sehemu tupati vinywaji kwa ajili ya kutuliza presha na akili kidogo, tulienda kwenye restaurant ya karibu pale na tukaagizaa juice tukiwa na slay queen yeye yupo busy na simu muda wte nilikua namkata jicho mshenzi had yule mwingine akagundua na kunishika mkono wangu kwa kunifariji hapo ndo chaji ya mwili ilistuka na mzee baba huku alituna hadi yule dada mwenyewe akaona na kuniuliza km nina nimeoa...ikafika mida ya kumsingizia shetani kumbe ni akili zangu zikiniambia leo lazima nimle tunda huyu dada nikamuonyesha ishara ya huyo ndugu kua analeta gozigozi, alitabasamu na kuinuka na baada ya dakika moja yule slay queen nae akatoka, hapo ndo nakumbuka fuko langu la mazagazaga sikuliweka kwenye gari alirudi yule dada na kusema nimsamehe sana binti ake kua ujana unamsumbua, nikabaki kushangaa kuuliza yule ni binti yake wa kuzaa au akanijibu ndio na mimi nikachomokea yule anashindwa kuheshimu baba zake, alitabasamu na kuniomba tutafute sehemu ingine private tupate kujuana vizuri huku tukivuta muda gari ilekebishwe ( nilivosikia private akili inawaza lodge tu
) nikamwambia ipo sehemu mzuri maeneo yale na tukatafuta bajaji na kuelekea huko na tulivoshuka akashangaa tunaelekea lodge akasita na kuuliza mbona tunaenda lodge, nikaonyesha km hali kukata tamaa na kuweka kisura cha huruma, aliniangalia na kusimama lakini sio shida ila anatumaini watakua na sehu ya vinywaji.... Ntakuja kumalizia ngoja nikakague returms za watu
Hii limao n tangawise limezidi
 
Daaah walimwengu ni shidaa Sana
Juzi Kati nlikua samaki samaki nmetulia nakula vyombo kaja dem fulan nae kapoz pemben
Baada ya lisaa nimamuita tujoin pamoja
Kumbe nimemuita strategically ili nimle kimasihara baada ya kusoma nyuz huku
Nikasema ebu Leo ngoja na Mimi nifanye
Crypococcoosis inflammation of sporodosis nika apply external force
Bila kumsahau mzee baba second Newton law of motion faster nika itumia
Wazee wa physics wanaijua
Nikamtupia mtoto Savana nne chap

Nikaona dem anacheka kama manamba waliopo shamba la katani kule Tanga enzi za mkoloni amepewa dakika tano za mapumziko

Bila kuchelewa kama ilivo law of flotation isivyo remba mambo inakuibua from no where nikaibua hisia zangu kama kibo gold
Mtoto akajifanya kuapply Archimedes principle nikamwambia ebu tulia hivi unamjua babalao aliye wasarambatisha kule Hiroshima na Nagasaki anaitwa Nuke??
Akasema hapana basi nikamwambia kaa kwa kutulia nikupe somo
Faster nikaingiza topic ya reproduction
Subtopic ya puberty dogo aka undergo acceleration akarudi enzi za hunting and gathering duuh nikaona apa huyu dogo

Ananiletea Mambo ya covid 19 wakati sisi tupo free like electrons zikiwa kwenye Aufbau orbital tunazunguka Kama centrifuge ikiwa kwenye rpm ya 3000
Mtoto nilimkalisha chini kama mtu aliye fumaniwa au mchawi aliye anguka kwa mchungaji
Faster dakika ooo mtoto amenielewa Kama kitabu cha Mabala the farmer
Kumbe hakujua Mimi ni bitter like osokonoi kwenye kitabu cha "Is it possible" ambako baba yake okonko mzee kariankei alimuadhibu mwanae ipasavyo
Okonko alilia Sana kama electric bell au thunder Storm zinapogusanisha positive na negative charge

Bila hiyana nlimpeleka nyumba ya wageni wenyeji
Tukafanya yetu bila yeye kutarajia nlimpelekea fire Carl Peter na wenzake wanataka kuja nikawaambia tulia huko huko Sasa hivi sio kipind cha mansoon wind
Huu upepo hautoshi kusafir
Utachoka Sana kupiga makasia
Dakika 40 nikawaruhusu Carl Peter na wenzake waje daah wale wazungu walikua wengi sio mchezo hakuamini kile kipururu nlichokua nacho
Kutokana na mechi kali ya Liverpool na Man City kukipiga pale anfild stadium
Makocha wote wawili walikubaliana kurudia mechi tena
Bila hiyana mechi ilirudiwa baada ya siku mbili
Uuuwiiii uuuwiiii ile mechi ni hatar vumbi lilitoka mtoni
Mkuu usecondary mwingi sana.. Adi carl peter
 
  • Thanks
Reactions: wax
Ngoja na mm nichangamshe jamvi kwa haka kachai


Ilikuwa Jumapili 2018 baada ya misa. Hiyo siku nilichangamsha sana misa kwa mashine kali ya Yamaha Electone FS70 (Wapiga vinanda wanatambua ni aina gan ya kinanda).
Baada ya kutoka kanisani kuna mama WAWATA alikuja kunisabahi na binti yake. Tukasalimiana akamtambulisha vizuri binti yake akaniomba nimuunge huyo binti kwenye kwaya yetu, nikamwangalia vizuri yule binti nikampitisha strategically. Wakati bado tunaongea yule mama akaitwa na WAWATA wenzie ikabidi nianze kupiga stori na yule binti. Nikiri wazi huyu binti hakuwa pisi kali japo alikuwa na sauti si haba na alikuwa bonge ana mtindi unashindana na bra. Nilipokaribia kufika home (sio mbali na kanisa) nikaomba namba akanipa kwa shangwe tu, nikampigia palepale akapata yangu tukaachana mida hiyo.

Jioni mida kama ya saa 11 yule binti akanitumia msg WhatsApp anadai amemiss story zangu, nikamwambia nipo home kama anaweza kuja anakaribishwa. Ndani ya nusu saa dogo akanipigia akanambia niongee na bodaboda nimuelekeze ninapoishi nikafanya hivyo. Dogo akafika home ila kwa jinsi alivyokuwa amevaa kidogo nilihamasika maana haikuwa kama nilivyokuwa nimemuona asubuhi yake. Akaingia ndani akahamaki kumuona mdogo wangu ambaye tumefanana sana ambaye kwa kipindi hicho alikuja kuspend likizo yake kwangu. Nikampa kinywaji tukapiga story mbili tatu, mdogo wangu akaenda mpirani tukabaki wawili, na hapa shetani ndipo alipoanzia kutusogeza kwake. Kwa kimini alichokuwa amevaa macho yangu yalishindwa kujizuia kuchungulia upaja wake.


Nilipocheki kwenye glasi yake nikaona kinywaji kimebaki kidogo, nikazuga naenda kuongeza kinywaji na vile alikuwa bize kuangalia runinga nikapiga ile glasi maksudi kinywaji kikamwagikia sehemu lengwa (mapajani). Nikajisemea "the devil is good today".
Akashtukia nshaanza kumfuta mapajani na kiganja akawa kama haelewi aseme nini, aligubikwa na butwaa! Kwa style nilokuwa namfuta aliweza kubashiri kifuatacho akawa anajaribu kutoa mkono ila ilikuwa too late na mkono ulikuwa ushasogeza ule umini ikabidi asalimu amri. Shughuli ikaanza rasmi, na yule binti pamoja na sura yake ngumu na ubonge alikuwa msafi aisee. Alikuwa na mtindi uliotuna na chuchu nyeusiiii! Na kule kwa bibi kulikuwa kwa moto hatari! Nikatembelea ringi wadau maana mambo yalitokea in a glance of time! Nikapiga cha mkwezi kuja kushtuka ni saa mbili kasoro. (Kumbe mdogo wangu alirudi alipokuta viatu bado vipo mlangoni akajiongeza akaenda kuzurula).


Baada ya ile mechi dogo akaanza kujiliza eti amemsaliti mchumba wake! Kumbe alikuwa mbioni kufunga ndoa na wiki ilokuwa inafuata alikuwa anafanyiwa send-off! Nilipomuuliza pete ya uchumba iko wapi akadai ameisahau nyumban kwao, nikaona that was strategic! Nikambembeleza kinafiki pale akapoa baada ya almost dakika 15 nikamuitia boda akasepa.


Sikuendelea kumtafuta kwa sababu niligundua ni kweli ilibidi afunge ndoa ndani ya mwezi ule. Hakuwahi kujiunga na kwaya yetu Namshukuru Mungu pamoja na kuuza mechi nilitoka salama.
Hongera.
Wapiga kinanda huwa mnafanana sana tabia 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom