kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,976
- 7,299
Hujanibembeleza tehWe mbona umegoma kuwa mchepuko wangu???
Neno hiloNyie wanaume mnasikilizia pesa zenu wakati mnataka mchepuko..bakini njia kuu hasa wewe mwenye kipato cha Tia Maji tia Maji.mtajitia aibu bure
Waambie kabisa maana wanapenda mtelemkoNyie wanaume wa ajabu sana
Mnataka michepuko isiwaombe hela wamekua wake zenu?
Lama hamtaki gharama bakini na wake zenu
Kwa michepuko ni pesa shida peleka kwa mkeo
Ndio maana mnaambiwa mtuliage na wake zenu hamsikii
mkuu nilikua nasubiri comment yako tu....shukran kwa kutambua umuhimu wa michepuko hasa mke wa mtu ila utembee na KY
Hahahah sa shida yote ya nini kumbe unaweza kubaki na mkeo?Mimi nimeujutia aisee.kaniomba lakini 3 nikamwambia sina naenda msibani nikirudi nitakupa.nimerudi mkuu mtoto wangu akawa amelazwa yote haya nikamweleza lakini cha ajabu bado anakomaa anataka pesa.nime give up mkuu.wacha nibaki na mke wangu.
kua na wasiwasi wa kifo sio mana......hujui siku wala saa hahahKwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
Wakati mwingine mchepuko unazingua hadi unatamani umwabie mkeo ati...Mimi nimeujutia aisee.kaniomba lakini 3 nikamwambia sina naenda msibani nikirudi nitakupa.nimerudi mkuu mtoto wangu akawa amelazwa yote haya nikamweleza lakini cha ajabu bado anakomaa anataka pesa.nime give up mkuu.wacha nibaki na mke wangu.
Wakati mwingine mchepuko unazingua hadi unatamani umwabie mkeo ati...
Ukimwambia imekula kwako hahahahahaWakati mwingine mchepuko unazingua hadi unatamani umwabie mkeo ati...
Haya mambo magumu sana kuelezea katika hali ya kawaida ukishafanya ndio akili inakufunguka.Hahahah sa shida yote ya nini kumbe unaweza kubaki na mkeo?
haya mrudie muumba wako sasaHaya mambo magumu sana kuelezea katika hali ya kawaida ukishafanya ndio akili inakufunguka.
Nilikuwa na kamchepuko flani amazing yani kanataka kampindue wife kakalie kiti kenyewe!
Nlikatoa nduki
Saivi nimeacha huo mchezo maana hauna faida na hakuna jipya zaid ya ku-risk afya yangu na ya familia yangu.Kumbe mnapenda wake zenu e,asa kwann mnachepuka??
haswaa kiongzi....WANAUME EE HEEHuu ndo asili ya uanaume, tunashirikiana kweli kwenye mambo fulani fulani
hahahaHa ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta