Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 241
- 396
Mambo yashakuwa mengi.
Thanks for responding.Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe.^CM
Ndugu mteja tunakutakia wakati mwema, Ukisubiri huduma.^MYThanks for responding.
Nimeambiwa utarudi saa kumi, usiporudi ntakupa taarifa zaidi for further assistance.
Huu Pemba unakatika na kuwaka mara 24 kwa siku. Yaani kama disco lights.Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu?
Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵