Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
bahati ya mtu usiilalie milango wazi
 
Nilivyoona waloolewa na 30yrs nikasema kumbe muda upo kidogo miaka michache hii naweza kukutana na my mr right mara ukaja wewe na 25yrs yako ukanifanya nijione nishachelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hahhaa yaan ktk watu amabao hawajawah kuwaza kuolewa ni m jaman!nilikua bata gelo hatari !msukuma yule ndo katoka shy akawa anataman hatari !shoga kula ujana !olewa atleast na 28 !au ht 30 !
 
aweza olewa mwenzio akiwa na 25 wewe ukaolewa 35 ila ya kwako ikadumu mpaka kuzikana wakati ya mwenzio ikaishiwa pumzi njiani
Nina rafiki aliolewa wakati tuko chuo akiwa na 23yrs. Ndoa ilidumu kwa miaka miwili tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…