Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

Doh pole, mwanaume akioa mapema naona kama kulast inakua ngum kidogo.

Kuachana hakuna uhusiano na umri. Nilioa nikiwa na miaka 23 na mke wangu akiwa na miaka 13. Leo tuna ndoa ya miaka 45 na hajawahi hata kwenda kwa mjumbe wa nyumba 10 kunishitaki.
Nimewahi kuona harusi iliyovunja rekodi yaani ufahari wake haupimiki. Watu walikula na kunywa unachohitaji for 2 days. Asubuhi hadi asubuhi bila kuulizwa swali. Lakini ilidumu only 6 months. Wakaachana. 3 yrs later mwanamume akafa HIV na mkewe naye alikuja kufa baadaye kwa kifo cha ajali. Nyingine waliachana mara tu mama alipojifungua. Mwanamume akasema haoi mzee. Wakaachana. Umri haujalishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom