Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

nimeishi na wanawake tofaut kwa miaka kumi na saba tunazini tuu, nazalisha kama mazoezi ya kuingia ktk ndoa, na baada ya kuingia nimegundua sijajifunza chochote bora huo muda ningekuwa nabet tu
 
Unaweza ukawahi kuoa/kuolewa lakini ukachelewa kupata watoto au usipate kabisa
 
SAWA BOSS
 
Nilioa nikiwa na miaka 7. Na picha zipo siku mjomba anaoa nami Nikaoa. [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…