Ulioa/uliolewa katika umri gani?

Ukiwa around 30's au ukijaaliwa kufika 40 tafuta kengine na mwisho....raha ya kufuatilia mtoto tangu anapotambaa, kujifunza kusimama na kuongea, kukimbia etc... huwa haina mwisho, after that utaenjoy wajukuu
Asante nitauzingatia ushauri wako mkuu
 

mkuu naona neno umri umelenga zaidi kwenye umri aina moja tu yani wa mwaka wa kuzaliwa tu ambao sio kigezo pekee cha maamuzi ya kuchelewa au kuwahi kuoa. kuna maturity/wisdom age.. wapi le mbebez, kuna mental age, gender age wakati msichana wa miaka 24 anawaza mme na watoto mwanaume anawaza kua anawaza simu mpya na gari, kuna experience age unaweza pitia maisha ya utu uzima ukiwa mtoto.. nk nk!

ps: ndoa sio kujilipua. (refer maturity age)
 
Kumbe!!! Bado miwili nifikishe40 na sijafikiria[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ulijichimbia wapi mamito??
Niliolewa na 18 kasoro wakati huo mume alikuwa 32, niliolewa zile ndoa km za kizamani analetwa mume na mashangazi na mume nilimjua siku naenda kuolewa, kisa tu cha aunt kunifanyia ivo ni story ndefu best
Duuuuh!! Mna tofauti kubwa mno!
 
ah hmna bwana baba aliniambia mbiti we bado mtoto saanna kuolewa nw nikawa simwelew nw namuelewa!hapana bana ateast 29 huko ushakomaa akili na kubeba majukumu mengi !
Nakumbuka ile nimemaliza form 6 sijui nilipatwa na wazimu gani ilibaki kidogo tu niolewe lol!!! Dada yangu alicheka sana kisha akaniambia "nakupa mwezi mmoja wa kufikiria, kama bado utakuwa unataka kuolewa njoo uniambie". Nakumbuka hata sikurudi kutoa jibu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
miaka hii vijana wa miaka 27 jaman wana akili za kitoto jaman hupat kusema !na wasichaan 23 jaman aingie ndoani amesoma saa ngap? atleast uolewe ukiwa una kamasters kako umefel sana kadgree
27 mbali hivyo!! 30 utafikiri ndio wanabalehe.
 
Nimeoa nikiwa na miaka 27. Sijawahi kujuta kuwahi kuoa. Nitakapofikisha miaka 50 mwanangu wa mwisho atakuwa anagraduate university. Hapo mimi na bibi yenu ndo tutakapoanza maisha ya ujanani...

Ee Mungu nisaidie...
We dogo unamdanganya nani huku!!!
 
Pole mamiii
 
Uzuri mume hakutaka nizae haraka alitaka nimalize walau diploma ndo nizae, so miaka mitatu kwny ndoa ndo nikapata mtoto, wakati huo nilikuwa 21, kutokana na utoto sikuwa naelewa kuhusu kupanga uzazi ikapelekea kuzaa kwa haraka 24 watoto 3,
Duuuu kapeace una tu story tuzuri. Ila hatuchekani kwenye bandika bandua watt ila kwa sasa rahaa
 

Kama wewe ulishindwa unadhani hao unaowashauri ndio wataweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…