Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 37,013
- 73,646
JitahidiInakuja sijui nimsimulie nani ili aniandikie Niko mvivu kutype
JitahidiInakuja sijui nimsimulie nani ili aniandikie Niko mvivu kutype
Yaani bandika bandua inatesa wakiwa bado wachanga, ya tatu nilitamanigi kuitoa mungu anisamehe lkn saiv naenjoy saaanaDuuuu kapeace una tu story tuzuri. Ila hatuchekani kwenye bandika bandua watt ila kwa sasa rahaa
Kama wewe ulishindwa unadhani hao unaowashauri ndio wataweza?
Yeah nitajitahidi naona dondoo zimewavutia ni true story ya maisha yanguJitahidi
nan ameshindwa? subutu yako ! nipo ndoani kwa raha zangu !pole weeee
Huyo aandae budget ya kupeleka watoto tution.....Mkuu kuoa hakuna muda rasmi ni utayali pamoja na kujipanga! nakumbuka kuna rafiki yangu ameoa akiwa na 41yrs! kikubwa its to get right person!
Haujashindwa ndoa mkuu ila ulishindwa kusubiri hiyo miaka minne kazini
Huyo aandae budget ya kupeleka watoto tution.....
Pia macho ya watu yanakatisha tamaa ila ukishashusha utasikia mashost yani nakutamania jamaniiYaani bandika bandua inatesa wakiwa bado wachanga, ya tatu nilitamanigi kuitoa mungu anisamehe lkn saiv naenjoy saaana
27 mbali hivyo!! 30 utafikiri ndio wanabalehe.
Nakumbuka ile nimemaliza form 6 sijui nilipatwa na wazimu gani ilibaki kidogo tu niolewe lol!!! Dada yangu alicheka sana kisha akaniambia "nakupa mwezi mmoja wa kufikiria, kama bado utakuwa unataka kuolewa njoo uniambie". Nakumbuka hata sikurudi kutoa jibu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Watu kwa kuongea tu tuko njema sana best, nakumbuka wakati huo tumbo la tatu lina miezi sita, wa pili ana mwaka mmoja na wa kwanza alikuwa na miaka mitatu naenda kliniki sasa ile mkishuka kwenye gari macho yote kwangu ilikuwa inanikera na sasa wadada wananiangalia kwa huruma loh ilikuwa inaniboa vby,Pia macho ya watu yanakatisha tamaa ila ukishashusha utasikia mashost yani nakutamania jamanii
Kumbe!!! Bado miwili nifikishe40 na sijafikiria[emoji85] [emoji85] [emoji85]
sasa tofautisha utumikaji wa mwanaume na mwanamke!! anayechakaa haraka ni nani sasa kama sio KE halafu ndio aingie kwenye ndoakwan wewe hujatumika had uje useme watumike wenyew tu !
Hahaaaaa ww ilikua noma aseee hyo chapchapWatu kwa kuongea tu tuko njema sana best, nakumbuka wakati huo tumbo la tatu lina miezi sita, wa pili ana mwaka mmoja na wa kwanza alikuwa na miaka mitatu naenda kliniki sasa ile mkishuka kwenye gari macho yote kwangu ilikuwa inanikera na sasa wadada wananiangalia kwa huruma loh ilikuwa inaniboa vby,
Sasa nani atakae kuoa wewe labla Uvccm mwenzako wa hapo Lumumba......Ishirini na
I love you kapeace
Mbn niliikariri hadi leba na vitanda vyake na mpangilio wakeHahaaaaa ww ilikua noma aseee hyo chapchap
Love you too tajiri msomiI love you kapeace