Nenda zako subiri kigwagallah afike dsm Leo dingi yako azimishweSasa unatoa ushauri au ndiyo unapitisha sheria kabisa?
Mkuu changia jf umri wako hapa jamvini ni mkubwa sana hata sisi makinda tujifunze kutoka kwakoKwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
Huyu Zomba ndilo lile jini linaloitwa Maimuna!Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
Mkuu changia jf umri wako hapa jamvini ni mkubwa sana hata sisi makinda tujifunze kutoka kwako
Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
Kupitia m-pesa mkuuSasa hapa nafanya nini kama si kuchangia?
Sasa hapa nafanya nini kama si kuchangia?
Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
You are pathetic for not considering the majority because of your personel cormfort.Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
Zomba hata kama humwogopi Mungu wala binadamu wenzio kumbuka kuna usemi usemao"mwenzio akinyolewa zako tia maji"kumbuka yalompata Dr.yaweza kukupata au hata zaidi.Au mwenzetu unaijua kesho yako?
Kwani Ulimboka bado mzima?
Huyu itakuwa ni robot. Mbavu, Meno. Miguu, Taya, Tumbo, Makalio, kavutwa na gari (ina maana michubuko mwili mzima) na maumivu mwili mzima. Bado yuko hai?
Namtakia maisha mema na mgomo mwema.
Na yale yanayowapata wagonjwa wote wanaohaha bila kutibiwa na wengine kupoteza maisha, wewe hayawezi kukupata?
I can't believe what you have written zomba! Ina maana una support kitu alichofanyiwa? Kwa mamlaka gani na kwasababu gani? Huoni tutatengeneza magenge ya wahuni kama kule nigeria halafu nchi itakuwa ngumu kuendesheka? Mbona sioni huyu jamaa kama ana tishio lolote sasa watu wanatishika na nini?
Well, mengine tunamuachia Mwenyezi Mungu, ila malipo hapa hapa duniani.