Ulinzi wa viongozi na ninayoyaona.

Ulinzi wa viongozi na ninayoyaona.

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,114
Reaction score
5,114
Naamini hii ni mada tete na kwa ujumla sitaingia sana ndani ila sababu kubwa ya kuandika ninachokiandika ni haya ninayoyaona machoni kwangu.

Kiongozi wa umma analindwa na walinzi wenye silaha wakti yeye pia akiwa amebeba silaha!!!!!

Mkuu wa mkoa amebebwa juu kwa juu na kiunoni kabeba bastola wakti ambapo tunajua kuwa huyu ulinzi wake si mgambo au askari wa kawaida.

Hivi likitokea la kutokea naye ataichomoa silaha yake?atamlenga nani?

Mwalimu Nyerer alipewa bunduki na Raisi wa Romania lakini alipokuja alimpa rafiki yake aliyekuwa akipenda kuwinda,Rashidi Mfaume Kawawa.

Huu u happy trigger kwa viongozi unaashiria nini?Tujadili ila tusijadili wa Mkuu wa nchi.
 
Sasa unataka kusema kila kiongozi aishi kama nyerere ?
Kwanza nilisikia jamaa alikua na ugonjwa wa akili na wanae wakarithi mfn endrew
 
......
......juzi nilikuwa chuga nikakuta pisi la ukweli limeachia Mbela na shanga WAZI
 
Hivi Maknda ndio kiongozi wa kutolea mfano? Huyo hata akinanihii katikati ya Soko mchana kweupe we nyamaza tuu. Yupo ofisi ile kimkakati
 
Back
Top Bottom