Mbu anachokisema Babu ODM hapo ni kuwa mwenye cheating ni hulka ya binadamu (tena kuna sehemu nimesoma kuwa kwa mwanamke ni kubwa zaidi ya kwa mwanaume!!). Wenye uwezo wa kujizuia wana utashi, aibu na staha kwa wenzi na jamii na hawa si wengi sana. lakini wanaocheat si kuwa hawana mapenzi ya kweli bali ni wale walioshindwa kuzizuia tamaa zao na hawana aibu kwa wenzi wao na wanajifanya manunda kwa kuwaumiza wenzi wao hisia!
(Babu desa ulilonipa linaishia, usipoingilia kati hapa nakugeuka narudi kwa Mbuuuu)
Mhhh....MJ1,
Ili mambo yaende na siku zetu ziishe salama...Umesahau kwamba maisha yenyewe ni mafupi sana???
Mjukuu unaanza kupotoka....Hebu omba radhi mapema na ukapumzike kidogo kubla hujazua kasheshe ambalo hutaweza kulimudu!!
Huwezi kusema cheaters hawana aibu ......Ni matusi makubwa...Kwani wanafanya hiyo cheating mnadani, sokoni au kwenye uwanja Fiesta???
Pia umesema kuwa hawajali kuwaumiza wenzi wao...Hivi kuna cheaters wapuuzi kiasi hicho kwamba wanaamua kuwaumiza wenzao kwa kuwaita waje kushuhudia wanavyocheat?? Wanaumizaje wakati wanafanya mambo yao kwa usiri wa hali ya juu kama au zaidi ya CIA au MI6????
halafu kwenye cheaters...
hivi polygamist wanawekwa kundi gani....?
wengine culture zetu zinaruhusu polygamy...
sawa umeshindaSema umepumzika na sio kusahau
Hiyo bold hapo, unanilisha maneno, hebu msome mzee mwenzangu hapa chini uelewe zaidi.Mbu anachokisema Babu ODM hapo ni kuwa mwenye cheating ni hulka ya binadamu (tena kuna sehemu nimesoma kuwa kwa mwanamke ni kubwa zaidi ya kwa mwanaume!!). Wenye uwezo wa kujizuia wana utashi, aibu na staha kwa wenzi na jamii na hawa si wengi sana. lakini wanaocheat si kuwa hawana mapenzi ya kweli bali ni wale walioshindwa kuzizuia tamaa zao na hawana aibu kwa wenzi wao na wanajifanya manunda kwa kuwaumiza wenzi wao hisia!
(Babu desa ulilonipa linaishia, usipoingilia kati hapa nakugeuka narudi kwa Mbuuuu)
Halafu mzee mwenzangu wanachokisahau hawa watu ni kuwa, hata wapenzi wa ukweli nao wanacheat. Wao pia ni binadamu wenye moyo wa nyama. Kuanguka si kitu cha ajabu na wakianguka haimaanishi ndo wameshaacha kupenda wapenzi wao...... Ikijulikana hivyo basi, ni nadra sana watu hawa kuvunja hisia za wapenzi wao, so uchafu wao hawawezi kuuacha uchafu wao ufahamike kwa wapenzi wao. PERIOD!Mjukuu unaanza kupotoka....Hebu omba radhi mapema na ukapumzike kidogo kubla hujazua kasheshe ambalo hutaweza kulimudu!!
Huwezi kusema cheaters hawana aibu ......Ni matusi makubwa...Kwani wanafanya hiyo cheating mnadani, sokoni au kwenye uwanja Fiesta???
Pia umesema kuwa hawajali kuwaumiza wenzi wao...Hivi kuna cheaters wapuuzi kiasi hicho kwamba wanaamua kuwaumiza wenzao kwa kuwaita waje kushuhudia wanavyocheat?? Wanaumizaje wakati wanafanya mambo yao kwa usiri wa hali ya juu kama au zaidi ya CIA au MI6????
Haha the Boss hiyo Polygamy si inakuwa imeruhusiwa kisheria/mila au makubaliano au?? na inajulikana unapolygamize na nani ! au?
sasa process ya kumpata wa pili si kuna lunch au weekend out na huyo mtarajiwa wa pili?
kabla hajatangazwa? jee hiyo nayo ni cheating?
Hapo ndipo kila mara huwa najaribu kuwafahamisha lakini sijui ni kuwa hamuelewi au mnafanya makusudi kufanya hamjanielewa: Hakuna katika dhana nzima ya MAPENZI ambapo mwenye mapenzi ya kweli anaweza akaufanya unyama huo. Ukiona hivyo, hao walitamaniana, na limit ya tamaa ndo ishafikia kileleni........ Kama mapenzi yanalead the way, kamwe hauwezi ukatokea usharubobo wa namna hii.....aggggggrrr sitarudia tena hili somo.Hilo ningeomba upate ushahidi humu humu ndani, wapo wanaowaletea wenzi wao mahawara, wakawashusha kwenye matrimonial beds na kuwalaza sakafuni au kwenye vyumba vya watoto! Hujawahisikia? kuna wanaume washenzi babu! Usiri unaouzungumzia nao pia unategemea unatafsiri vipi maana kama ni siri kwa mke/mume wakati rafiki yako ambaye ni shemeji wa mwenzi wako anajua hii si siri Babu yangu.
kulinda utalinda lakini hautafanikiwa.....!
hata hivyo sijawahi kuona watu wakifanikiwa ''kuyalinda'' haya mapenzi....!mifano tunayo wajameni.tuwe realistic kidogo au vipi mazee?!
tunaona wake za watu wakishughulishwa mahoteli makubwa hapo dar nyakati za asubuhi na mchana...wakirudi makwao wanasoma biblia....
tunajiona sisi wenyewe wanaume tunavyoshindwa kuheshimu ndoa zetu kwa kuwa na vimada huko nje....na jioni tunarudi kuwakumbatia wake zetu as if ''nothing happened''
mimi nadhani kuna vitu ''basics'' vya kufanya ili:
-tuziheshimu ndoa zetu
-tuheshimu miili yetu
-tuheshimu afya za wenzi wetu
-tuwaonee huruma tuliowaleta duniani
sasa hayo mambo tajwa hapo juu yakifanyika utajikuta ''automatically'' unalinda hilo penzi!...sasa hayo mambo unayafanyeje hiyo ni topic kubwa sana basing on perceptions za ''imani''
kinyume na hilo my friends tutakuwa tunachangamsha jamvi!
Baada ya kusoma maneno haya, naweza kuuliza tu kwamba leo jioni tukutane wapi tunywe taska malti ya baridi?kulinda utalinda lakini hautafanikiwa.....!
hata hivyo sijawahi kuona watu wakifanikiwa ''kuyalinda'' haya mapenzi....!mifano tunayo wajameni.tuwe realistic kidogo au vipi mazee?!
tunaona wake za watu wakishughulishwa mahoteli makubwa hapo dar nyakati za asubuhi na mchana...wakirudi makwao wanasoma biblia....
tunajiona sisi wenyewe wanaume tunavyoshindwa kuheshimu ndoa zetu kwa kuwa na vimada huko nje....na jioni tunarudi kuwakumbatia wake zetu as if ''nothing happened''
mimi nadhani kuna vitu ''basics'' vya kufanya ili:
-tuziheshimu ndoa zetu
-tuheshimu miili yetu
-tuheshimu afya za wenzi wetu
-tuwaonee huruma tuliowaleta duniani
sasa hayo mambo tajwa hapo juu yakifanyika utajikuta ''automatically'' unalinda hilo penzi!...sasa hayo mambo unayafanyeje hiyo ni topic kubwa sana basing on perceptions za ''imani''
kinyume na hilo my friends tutakuwa tunachangamsha jamvi!
ha ha ha ha!...Baada ya kusoma maneno haya, naweza kuuliza tu kwamba leo jioni tukutane wapi tunywe taska malti ya baridi?
Hapo ndipo kila mara huwa najaribu kuwafahamisha lakini sijui ni kuwa hamuelewi au mnafanya makusudi kufanya hamjanielewa: Hakuna katika dhana nzima ya MAPENZI ambapo mwenye mapenzi ya kweli anaweza akaufanya unyama huo. Ukiona hivyo, hao walitamaniana, na limit ya tamaa ndo ishafikia kileleni........ Kama mapenzi yanalead the way, kamwe hauwezi ukatokea usharubobo wa namna hii.....aggggggrrr sitarudia tena hili somo.
kulinda utalinda lakini hautafanikiwa.....!
hata hivyo sijawahi kuona watu wakifanikiwa ''kuyalinda'' haya mapenzi....!mifano tunayo wajameni.tuwe realistic kidogo au vipi mazee?!
tunaona wake za watu wakishughulishwa mahoteli makubwa hapo dar nyakati za asubuhi na mchana...wakirudi makwao wanasoma biblia....
tunajiona sisi wenyewe wanaume tunavyoshindwa kuheshimu ndoa zetu kwa kuwa na vimada huko nje....na jioni tunarudi kuwakumbatia wake zetu as if ''nothing happened''
mimi nadhani kuna vitu ''basics'' vya kufanya ili:
-tuziheshimu ndoa zetu
-tuheshimu miili yetu
-tuheshimu afya za wenzi wetu
-tuwaonee huruma tuliowaleta duniani
sasa hayo mambo tajwa hapo juu yakifanyika utajikuta ''automatically'' unalinda hilo penzi!...sasa hayo mambo unayafanyeje hiyo ni topic kubwa sana basing on perceptions za ''imani''
kinyume na hilo my friends tutakuwa tunachangamsha jamvi!
Aksante Teamo hapa umemaliza kila kitu...............unajua mnachokichanganya wewe na ODM ni nini? hapo kwenye nyekundu hapo, mwenyewe unasema ukizifanya hizo basics utajikuta UNALINDA hilo penzi aotomatically...........na ndicho tunachokisema pia sisi. so kwa maelezo yako hapa unakubali kuwa kwa kufuata hizo basics, autonmatically unalilinda penzi si ndio? au leo magugu maji yametanda kichwani mwangu
...me nilikuwa sumbawanga juz juz,nimemwekea pasword za asili na hana ujanja