Ulinzi wa aina hii ni matumizi mabaya ya pesa

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Nimeskitishwa Na ulinzi wa aliyekuwa mwanamziki Bobi Wayne Na amegeuka kuwa mwiba kwenye siasa za Uganda huku akimnyima usingizi Museveni

Ulinzi kama huo mkubwa ni moja ya vitu ambavyo moja Kwa moja akipata madaraka huyo ni hatari sana bajet ya serikali itaishia kumlinda yeye ulinzi wa Trump Na Kim ni wa kawaida sana

Watu kama hawa jamii inapaswa kuwaogopa kama ukoma kuna hatari ya kujaza wapambe ikulu tu Na hakuna kitakachofanyika

Ulinzi ule una Salam tosha Kwa wananchi wa Uganda kuna maslahi binafsi msihadaike
Ndo kwanza unaenda kuomba ridhaa Kwa wananchi upo hivyo hofu ya nini
#Zamazimebadrika
 
Anaongeza ajira kwa waganda, au ulitaka amwage hela kwa waandishi wa habari wapiganie hela kama mbwa
 
Sio kwa nchi zetu za mashariki mwa Africa, lazima athamini usalama wake kuliko msosi, otherwise ataishia kama yule mwanachama wake, msanii kinda.
 
Back
Top Bottom