MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,696
- 4,978
- Thread starter
-
- #41
Nafikiri they must think outside the box.... Leo hii mtu anaweza kuja kuishi hapa kijijini....na hata kwà mwenyeketi wa Mtaa hapajui. Na hata mwenyeketi mwenyewe hamjui. Watu wanaishi kwà kuogopana , wanashindwa kufanya majukumu yao.Watu kufanya shughuli zenye kuondoa utulivu karibu na eneo la Ikulu ni kama mkakati wa muda mrefu wa projects za wanaoutekeleza mkakati huo.....
Usipasukume Ndugu. Huku sasa hivi fasheni ni kujenga flemu na kufungua bar , na kisha kuweka mispeaker nje na kupiga mziki mkubwa bila kujali wanaokuzunguka.Nina kibanda changu hapo karibu na ikulu {KWA TUMBO} nasubiri mtu aingie kichwa kichwa nipasukume....maana hata sisi raia hatupendi kufuatiliwa...tukiamua SINGELI NI SINGELI
Sasa kutoka hapo geti la nyuma hapo keep left Kuna umbali gani mpaka kufikia jengo la ndani kabisa kule anakokaa Rais na mamlaka? Mi sioni shida maana pia Ikulu ni ya wananchi, pia swala la Chamwino inakua kwa kasi s maana nimepita hapo nikielekea kazi za field huko Dabalo mwezi mzima kila siku nilikua napita pita hapo, hayo maendeleo sijui ni yapiNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.
Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.
Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!
I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.
Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.
Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."
#DarubinKali
Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Umeongea kweli tupu....nawajua baadhi hao ndugu hata vijiwe vyetu vya K-VANT majina yetu yametamalaki kwenye vidaftari huko....na mwisho wa mwezi ndio huu.[emoji39][emoji39]Usipasukume Ndugu. Huku sasa hivi fasheni ni kujenga flemu na kufungua bar , na kisha kuweka mispeaker nje na kupiga mziki mkubwa bila kujali wanaokuzunguka.
Hakuna anayefatilia watu huku sema nini...hao wanaojifanya watumishi wa IKULU....wanapenda sana waonwe kama wanyama wa Serengeti.
I mean, hawa raia wawaone kama wazungu hivi...au kama wanyama pori....wawe wanawashangaa...full kujishow
shida sana ukienda marekani raia wa nje ya marekani anaweza kuwa hata mwanajeshi hapa bongo haiwezekani utasikia sijui mamluku sijui watakua wametumwa mara majasusi haoState house ni office sip makazi ya no 1,ukienda pale white house USA, unaweza kupiga picha bila matatizo, Union Building unaingia na kupiga picha mbele ya sanamu kubwa ya the only Africa ICON, Leo hii siwezi punga upepo mbele ya State house pale magogoni, siwezi tembea maeneo yale after 1800!!,uoga wa kizuzu, huku lingusenguse sijawahi ona hata police aki patrol!,politicians wetu sijui wamewamezesha uzuzu gani middle class wetu,mpaka wanaogopa vivuli vyao
Hivi wewe, Unaijua ofisi ya RAIS iko wapi? Unaijua Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa IDARA ya Usalama wa Taifa iko wapi? KWANZA Umepimwa akili? Au umelogwa?Sasa kutoka hapo geti la nyuma hapo keep left Kuna umbali gani mpaka kufikia jengo la ndani kabisa kule anakokaa Rais na mamlaka? Mi sioni shida maana pia Ikulu ni ya wananchi, pia swala la Chamwino inakua kwa kasi s maana nimepita hapo nikielekea kazi za field huko Dabalo mwezi mzima kila siku nilikua napita pita hapo, hayo maendeleo sijui ni yapi
Hahahahaha umenisanua....kumbe zile tambo za kukaa kila siku kwenye bar huwa wanaandikwa kwenye daftari?...afu utakuta jitu ukipita barabarani pembezoni mwa bar utasikia linacheka kwa sauti kubwa ...HAHAHHAHAHAAHAHHAHHAAHAHAHAAHAHHA....kumbe likimaliza linaandikwa kwenye daftari!!!!Umeongea kweli tupu....nawajua baadhi hao ndugu hata vijiwe vyetu vya K-VANT majina yetu yametamalaki kwenye vidaftari huko....na mwisho wa mwezi ndio huu.[emoji39][emoji39]
Toeni mfano wa Bongo au Afrika , nitawaelewa vizuri.shida sana ukienda marekani raia wa nje ya marekani anaweza kuwa hata mwanajeshi hapa bongo haiwezekani utasikia sijui mamluku sijui watakua wametumwa mara majasusi hao
uoga wa kindezi wakati nchi yenyewe haina hata la kuandwamwa
Koh! Hatari sana! Sikua najua hii kitu .....Umeongea kweli tupu....nawajua baadhi hao ndugu hata vijiwe vyetu vya K-VANT majina yetu yametamalaki kwenye vidaftari huko....na mwisho wa mwezi ndio huu.[emoji39][emoji39]
UDOM ilijengwa lini mkuu!?ikulu imewakuta. walipeni wahame. Mbona Mkapa aliwahamisha vijiji kadhaa ili UDOM ijengwe? Mnashiundwa nini?
mradi ulianza wakati wa mkapa, jk akaurithi mkapa akiwa ameshahamisha vijiji vyote eneo lile na kuweka master plan, barabara na karibia foundations za baadhi ya majengo. au unadhani jk ndiye alianza?UDOM ilijengwa lini mkuu!?
Hamna haki ya kulala kwasababu hamna mchango wowote unproductive nchiniJana sijalala kabisa!
HaloNawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nipo hapa Chamwino Ikulu kwa takribani miaka mitatu sasa. Huu ni mji ambao unakua kwa kasi sana pasipo kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Ni mji ambao .....ni kama ....ni kama vile....viongozi au wahusika wameachilia mambo yafanyike tu hovyohovyo pasipo mpangilio maalumu huku wakijidanganya eti wanauchangamsha mji.
Lakini ukweli ni kwamba, kidogo kidogo wanachokitengeza ni fujo, ukorofi na ugomvi pasipo wao kujua na hata kujali kuwa kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuruhusiwa kuwa karibu na IKULU ya RAIS.
Mfano:- Kuna wakati GWAJIMA alikuja hapa CHAMWINO IKULU kuhubiri...na alikua jirani kabisa na IKULU YA RAIS....jamaa wakamwambia aondoke maeneo yale kwasababu ya kupiga makelele na akaambiwa aende uwanjani. Leo hii...mji huu umekua na makelele mpaka usiku wa Manani...mambo ya hovyo kabisa kabisa!
I thought hili litakua eneo la utulivu, ..lililozungukwa na watu waungwana , wastaarabu na wanaojitambua. Now kidogo kidogo linakua kama sehemu ya entertainments, drugs, alcohol ... yaani kama tupo maeneo ya migodini tu....I mean...mgodi ule pale...halafu nje ya mgodi watu ni full mi-intertainments. Makelele mtindo mmoja.
Najua wahusika wako Educated vizuri sana lakini huwenda na wao pia wakawa part ya kushabikia hizo entertainments zinazopiga makelele hovyo hovyo. Na ndio maana hawawezi kufikiria sawasawa kuzibaini errors + mistakes za kuruhusu mambo hayo yaendelee kufanyika pasipo mpangilio wowote.
Nasemaje, "Acheni watu wafanye biashara lakini kwa kuzingatia Ulinzi na Usalama wa IKULU. Lakini pia kwa kuipa hadhi yake (Ikulu ni mahala patakatifu) ,: Kwamba mtu anapokuja Chamwino IKULU basi aone mambo yalostaarabika,...tena msiruhusu hata kidogo kuwaruhusu wakazi wa nje ya IKULU kuwatengenezea Matatizo ambayo yataleta matokeo mabaya nje+ndani ya IKULU, matatizo ambayo solutions zake zitakua gharama sana kuzipata."
#DarubinKali
Note: Kama kuna mtu nimemkera anicheck inbox ( kwà Busara)
Kama sijakuelewa Ndugu. Productive au Unproductive? Maneno yako kama yana mimba hivi...yazalishe pls?Hamna haki ya kulala kwasababu hamna mchango wowote unproductive nchini
Halo hiyo vipi?Halo
Mambo ni motoHuko Chamwino kila mtu anajifanya Afisa kipenyo, na wanavaa Kaunda Suti hadi wakulima[emoji91][emoji91][emoji91]
Matajio gani mpendwa?Shauri Yako mpendwa jiondolee hayo matarajio