Ulinzi au kufuru? Wamarekani bwana

Ulinzi au kufuru? Wamarekani bwana

Al-shabab Wasogeze Pua Apo Waone.Sio Wanakimbilia Kuwaonea Watoto Wa Shule Wasio Na Hatia.

Kama Wao Wametumwa Na Allah Wakimuua ----- Wanakwenda Peponi.----- Ndo Huyo Hapo Amejileta Mwenyewe.Tunataka Kuona Jihad Ya Allah Apo.Vinginevyo Waache Kumsingizia Allah Wao Na Wakome Kutusumbua!

Hahahahhahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mkuu umenichekesha sana By the way wale shabab ni kenge tu
 
pumbavu wewe ulichomaanisha sicho hicho, ulimaanisha hakuna wa kuweza kumuua obama ndio maana ka.fi.ri. mwenzio akaandika kitakacho muua obama ni uzee tu, tatizo mnaamini wauwaji lazima watoke nje ya kundi lenu bali muuaji anaweza kuwa ndani yenu nyambafu wewe

Govinda Uwezo Wako Wa Kufikiri Ni Mdogo Sana.Na Ndomana Umenielewa Uwezo Wako Ulipoishia.

Kingine Husipende Kua Unamtajataja Yesu Kibwegebwege Na Kumtolea Mifano.Biblia Sio Kama Kitabu Cha Hadithi Za Shigongo Ambacho Hata Wewe Mahanuni Unaweza Kukisoma Na Kukielewa.Biblia Ni Kitabu Cha Kinabii.Ambacho Kinahitaji Hekima Ya Kimungu Ili Uweze Kukisoma Kukielewa.Kwa Bahati Mbaya Huna Neema Hiyo.Na Mungu Hawezi Kukupa Kwasababu Wewe Sio Wa Kwake Wewe Ni Wa Allah.Kwahiyo Maisha Ya Yesu Na Kifo Chake Ni "Fumbo Kwako" Wewe Huwezi Kuelewa Na Kukitolea Maelezo Wala Mifano.Hata Ningekupa Miaka100 Biblia Itaendelea Kua Kitabu Kigeni Kwako.Kwasababu Ni Kitabu Kitakatifu Maalum Kwa Watakatifu.Lakn Sio Kwa Firauni Kama Wewe!
 
imani nzuri ni ile inayotambua imani za watu wengine na si kuchukia imani nyingine!
 
Ndo maanake..mataifa mengine ulinzi wenyewe ni wa kawaida tu na wapo safe muda wote kulinganisha na hao watu ambao Obama anawaongoza!

Ajabu sana...!

Unajua US ni moja kati ya nchi zenye maadui wengi saana duniani. Maadui wa ndani na maadui wa nje. Pili, wameshaexperience rais wao akiuawa in cold blood waliporuhusu elements kidogo tu za kuwa huru na crowds. So sasa hivi wako makini saana, they wouldn't leave anything to chance that their president is safe anywhere. Ndio maana unaona hivyo
 
Unajua US ni moja kati ya nchi zenye maadui wengi saana duniani. Maadui wa ndani na maadui wa nje. Pili, wameshaexperience rais wao akiuawa in cold blood waliporuhusu elements kidogo tu za kuwa huru na crowds. So sasa hivi wako makini saana, they wouldn't leave anything to chance that their president is safe anywhere. Ndio maana unaona hivyo

Sasa ya nini kujitafutia maadui wengi namna hiyo? waweke nchi yao vizuri na wajenge mitazamo mizuri juu ya jamii zingine katika hali amani kuliko ushari sahri kama ilivyo sasa, watakaa safe tu...simple mbona tatizo hawataki silaha zao zijae viwandani mwao bila kutoka nje ya mipaka yao...
 
Marekani hailindwi na Mungu kwahiyo lazima ijilinde vilivyo...vinginevyo ingepigwa na Al Shabab
 
Wewe lazima utakuwa mtoto wa nje uliekataliwa na wazazi wote wawili hence akili yako imekuwa moulded na mizingira magumu ya dunia-waonekana wewe ni ex chokaraa
pumbavuuuu sijawahi kuwa na maisha ya hivyo toka nazaliwa, labda wewe ambae ulikuja mjini kwa gia ya u-house girl ila ukafanyishwa ukahaba hadi msamalia mwema alivyoamua kukusitiri na kukusomesha qt
 
Back
Top Bottom