Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Mtu kama Obama uzee tu ndo utakaomuua vingine sidhani
Ni Kaffirun tu ndiye anaye amini hivyoo!
Mtu kama Obama uzee tu ndo utakaomuua vingine sidhani
who talked about Jesus??
Ukiona mtu kazidiwa maarifa na ujuzi hukimbilia maneno ya Mungu ili kujifariji. Hawa jamaa wako realistic kama ndugu aliyesema hapo juu. Reagan alipigwa risasi na sniper, baada ya kosa hilo ndio maana wanatake cover mapema kabisa. Sisi tabu yetu ndio hii Mungu yupo Mungu yupo hatujifunzi kwa realities zinazotokea. Tuweni realistic jamani.
Ukiona mtu kazidiwa maarifa na ujuzi hukimbilia maneno ya Mungu ili kujifariji. Hawa jamaa wako realistic kama ndugu aliyesema hapo juu. Reagan alipigwa risasi na sniper, baada ya kosa hilo ndio maana wanatake cover mapema kabisa. Sisi tabu yetu ndio hii Mungu yupo Mungu yupo hatujifunzi kwa realities zinazotokea. Tuweni realistic jamani.
This Isnt A Joke.I Want To See The Jihadists Making Action According To What They Always Proclaim In The Name Of Allah.The Same Thing They Did In Garissa They Can Do Here Either.I Look Foward...
kila mtu anachezea kichapo kwa nafasi yake, ikiwa yesu tu alipigika na juu akatundikwa sembuse obama?Ngedere We!.Jiulize Kwanza Huyo Osama Na Alqaeda Yake Yuko Wapi Sasa.Mbona Hatumsikii Akitoa Yale Matamko Yake Ya Siasa Kali?.Au Sasa Anayatolea Kuzimu.?
Na Hao Alshabab Wanaojifanya Kuvamia Wanafunzi Wasiokua Na Hatia Na Kuwaua.Mbona Hawamvamii Obama Ambae Ndie Kiongozi Wa Taifa Kubwa Wanaodai Ndie Adui Namba1 Ya Uislamu?
Kama Wanaamin Kuua Ka.fir Ni Kwenda Peponi.Obama Huyo Hapo Na Wamerekani Hayo Hapo Kenya Wala Sio Wao.Ebu Wamuue Hata Bodyguard Mmoja Kama Kweli Ni Jihad Na Wanaipigania Dini Ya Allah.Sio Wanakurupuka Na Kwenda Kuwaua Wanafunzi Wasio Na Hatia Uwezo Kujitetea.
Huu Ndio Udhaifu Na Upunguani Wa Mafundisho Ya Dini Ya Kiislamu.Kama Wanaamini Katika Kuifia Dini.Mbona Katika Mahali Ambako Kifo Kiko Nje Nje Hawasogezi Pua.Nachukia Sana Unafiki Wa Hawa Waumini Feki Na Mafundisho Yao Dhaifu.
kila mtu anachezea kichapo kwa nafasi yake, ikiwa yesu tu alipigika na juu akatundikwa sembuse obama?
Hizo ni salam zenu kwa wapenda jihad ,.
kuna watu wanadhani huo ulinzi ni kwa ajili ya magaidi tu,
ukweli ni kuwa hata MOSSAD wanaweza kabisa kummaliza kama akilegea.
kuna wakati george bush aliwakatia misaada israel kwasababu ya kujenga kule westbank na jerusalem.
israel wakataka kummaliza bush,kama secret service wasingepata fununu,bush tushamsahau siku nyingi
Hao MOSSAD mbona walishindwa ku-foil assasination ya Yitzhak Rabin?
hawakushindwa bali wali initiate.
Nipe ushahidi kwamba wao ndo wali "initiate".