Bwana asipoulinda mji yeye akeshaye akesha bure
Al-shabab Wasogeze Pua Apo Waone.Sio Wanakimbilia Kuwaonea Watoto Wa Shule Wasio Na Hatia.
Kama Wao Wametumwa Na Allah Wakimuua ----- Wanakwenda Peponi.----- Ndo Huyo Hapo Amejileta Mwenyewe.Tunataka Kuona Jihad Ya Allah Apo.Vinginevyo Waache Kumsingizia Allah Wao Na Wakome Kutusumbua!

Hapo wanatumia nguvu zao wenyewe badala ya ulinzi wa Mungu!
Thubutu yao, wao wanawaonea watu wasio na uwezo. kama vita yao ni ya alla kama wanavyojinadi wamfuate Obama hapo Nairobi wala sio Marekani
Sasa hiyo picha ya kwanza msituni anafanya nini??