Ulinisaliti Juliet

Ulinisaliti Juliet

SEHEMU YA 31

KUMBUKUMBU: Hiyo ni kumbukumbuku muhimu ambayo nimekupa kuhusiana na mke wangu, tabia zake chafu zilizokuwa zimenikera na kuamua kumlipizia kisasi.

Maisha ya ndoa yapo hivyo, mara nyingi unakuwa unnamuamini mke au mume wako lakini kumbe upande wa nyuma anakubadilikia na kumpa penzi mtu mwingine kabisa.

Linapotokea hili, utakapoambiwa hutakiwi kupaniki kwani ni hali mbaya mno hasa inapomkuta mtu fulani, unakuwa na nguvu ya kufanya jambo lolote lile, hata kuua, kwako linaweza kuwa jambo jepesi mno.

Sikutaka kumuua rafiki yangu wala mke wangu, nilihitaji wajifunze kwamba katika maisha haya, linapotokea jambo fulani, kuua si suluhisho hata kidogo.

Niliwafanyia mambo mabaya ambayo ninaamini kwa yeyote yule aliyesoma basi atakuwa amejifunza kitu fulani.
Huu ndiyo mwisho wa simulizi hiyo fupi. Nashukuru sana kwa kuifuatilia,

Mwisho
Mimi nilitk nijue mwsho wa Kris baada ya kutatuliwa malinda
 
Sema Shunie sijui nilikukosea nn. Sikuoni whatsapp tena
Jamani wala hatujakoseana nimebadili simu ujue no nyingi zimepotea ndio mana haunioni ila nipo hivi na ile ya baradhuli si huku uliimalizia eenh

Kama una no yangu tivu ebu nitext whatsapp
 
SEHEMU YA 25

Niliporudi nyumbani usiku, kondomu zile sikuzikuta na wakati nguo zilikuwa zimefuliwa. Nilipomwangalia, macho yake yalikuwa mekundu hali iliyoonyesha kwamba alikuwa amelia sana.

“Kuna nini mke wangu?” nilimuuliza.
“Hakuna kitu mpenzi. Pumzika tu.”
“Hapana, siwezi kupumzika na wakati upo kwenye hai hii.”
“Naomba upumzike.”
Sawa.”

Wakati yeye akiwa na uchungu wa moyo, kwangu ilikuwa ni furaha tele. Ilipofika saa sita na nusu usiku, simu yangu ikaanza kuita, alikuwa amelala ila kwa sababu nilipanga kuipokea simu hiyo, hivyo sikutaka kulala japokuwa nami nilijifanya kulala.

Alipoisikia simu yangu inaita, akashtuka, nikaipokea na kuanza kuongea. Ilisikika sauti ya mwanamke upande wa pili, alikuwa ni Getrude, msichana aliyekuwa mfanyakazi wangu. Aliongea kwa kulalamika kwamba alikuwa amenimisi na alitaka kuniona, nilichokifanya ni kuinuka na kwenda kuoga.

Wakati nipo huko, meseji ikaingia simuni mwangu, nilisikia mlio huo na nilimpanga kwamba baada ya kuongea naye ilikuwa ni lazima atume meseji ambayo iliandikwa hivi ‘Baby, naomba uje, mwili unaniwasha, nahisi kuna vijidudu vinanitembelea mwilini.

Njoo uupoze moyo wangu kama jana na juzi ulivyonikuna vilivyo. Achana na huyo mjauzito, hawezi kukuridhisha, njoo kwangu nikupe mahaba motomoto mpaka uchanganyikiwe na kuona kwamba watoto wa kitanga tunayajua mapenzi. Kama unanipenda zaidi ya mke wako, njoo, ila kama mke wako ni zaidi yangu, usije’.
Nilipomaliza kuoga, nikarudi chumbani.

Alikuwa akilia sana kwani aliusoma huo ujumbe, nikajifanya kutokujali na wala sikumuuliza kulikuwa na nini, nikavaa na kuondoka zangu huku nikimuacha akilia kama mtoto.
Nilichokuwa nikitaka ni kumuumiza tu.
*
*
*
*
Je, nini kitaendelea?
Sio kwa malipizi haya lol.....Julieth anapita kwenye tanuru la moto
 
Back
Top Bottom