PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,276
Reaction score
38,847
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake!

Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti kwenye eneo moja. Picha ya pili ni wakati wa ukaguzi wa mwili wa mzee Ali Kibao.

Kwa maana nyingine Ali Kibao ameendelea kuonyesha uhuni wa vyombo vya dola hata akiwa kaburini.
20251116_083140.jpg

Hii pia inawaumbua wizara ya afya kwa uhuni wao kutaka ukweli usijulikane.
 
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake!
Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti kwenye eneo moja.
Picha ya pili ni wakati wa ukaguzi wa mwili wa mzee Ali Kibao.

Kwa maana nyingine Ali Kibao ameendelea kuonyesha uhuni wa vyombo vya dola hata akiwa kaburini.
View attachment 3502543

Yameumbuka
 
Niliwaambia mimi miili ya watu waliokufa irudishwe kwa wapendwa wao wakaizike kwa heshima.. na kuna ile mingine waliyoifukia na kuirundika kule kwa mashimo kwa mafungu kisha wakaifukia wakaifukue haraka wairudishe kwa wapendwa wao waizike kwa heshima sio hiki wanachokifanya haipendezi kabisa.. au mpaka na yenyewe irekodiwe kwanza kuonyesha walivyofanya ndio akili ziwarudi... halafu mtu anasema nimewasamehe badala yeye ndio aombe msamaha
 
Ni kweli ni hapohapo , hawa wajinga wanakanusha nini sasa? Akitokea chance amekamatwa tunamburuza nchi nzima adi aishe
 
Jamani wale waandishi wazuri waandike makala na sababu ya kwanini Samia anatakiwa kujiuzulu kabla ya tarhehe 9 Dec.Waandishi manguli wazuri wapo wengi humu jamani.
Tufanye hivo ujumbe umfikie mapema!
Ni wakati sasa Watanganyika tuongee kwa sauti moja hatuna mtetezi
 
Niliwaambia mimi miili ya watu waliokufa irudishwe kwa wapendwa wao wakaizike kwa heshima.. na kuna ile mingine waliyoifukia na kuirundika kule kwa mashimo kwa mafungu kisha wakaifukia wakaifukue haraka wairudishe kwa wapendwa wao waizike kwa heshima sio hiki wanachokifanya haipendezi kabisa.. au mpaka na yenyewe irekodiwe kwanza kuonyesha walivyofanya ndio akili ziwarudi... halafu mtu anasema nimewasamehe badala yeye ndio aombe msamaha
Aisee kuna ndugu yangu ni polisi alinirushia picha ya watu wakizikwa kwenye kaburi moja huko Tunduma , inatisha aisee, zaidi ya watu 200 au 250 walizikwa pamoja.
Naungana na wale anaosema huenda watu zaidi ya 23,000 wameuwawa kikatili na Samuya.
 
Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake!
Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti kwenye eneo moja.
Picha ya pili ni wakati wa ukaguzi wa mwili wa mzee Ali Kibao.

Kwa maana nyingine Ali Kibao ameendelea kuonyesha uhuni wa vyombo vya dola hata akiwa kaburini.
View attachment 3502543

Hii pia inawaumbua wizara ya afya kwa uhuni wao kutaka ukweli usijulikane.
Unazani bado ipo ? Apo tu inaonyesha imesha anza kuharibika iyo ime zikwa zamani sana
 
Back
Top Bottom