Ulimwengu wa vivazi: Dada etu nae yumo!

Ulimwengu wa vivazi: Dada etu nae yumo!

siku
ana ka-'kimbumbu' kaliko nona kimtindo......
hizi hawa madada kila kitu ni man made. Kwa umri wake hamnamo kitu hapo, kama nywele ni za bandia, nyusi za bandia,nido imepigwa bust inashindikana vipi kutengeneza tukio la bandia hapo kwenye mtuno unaoonekana kuwapagawisha watu? mchina hashindwi kitu anakutengenezea plastik fresh ukifitisha pooowa
 
Hata kama ni fashion ila Sijui watoto wa kike ukivaa ivyo mwili umejichora unajisikiaje
 
Hahahahahaaa naona kabint kanaobserv pale kalipotoka
 
Dada anashop maduka ya watoto. Maana kale kaumbo anasemaga anavaa size 4 sijui 6. kuna kipindi alikuaga anajipunguza avae size zero. Sijui ikoje hiyo size zero
Meant anajua kuvaa na anavaa classic, Dada wa taiga anavaa tugani twa $10, 15 na 20. Uzuri kaumbo kake hakamtupi
 
Dada anashop maduka ya watoto. Maana kale kaumbo anasemaga anavaa size 4 sijui 6. kuna kipindi alikuaga anajipunguza avae size zero. Sijui ikoje hiyo size zero
 
Back
Top Bottom