Ulimwengu wa roho ni timilifu

Ndio kuna road map very perfect one! Wanaoenda motoni ni wale walioedit ruti zao.. Motoni ni adhabu ya kukengeuka nackuharibu
Ni kweli kabisa Mtu anapozaliwa hakuzaliwa aje kuwa mshirikina, jambazi, muuwaji, mzinzi, mlevi..hayo ni baadhi ya matendo mabovu..Mungu anahitaji tuenende kwenye njia iliyo sahihi( Upendo e.t.c) hao wamekiuka hiyo road map kwa tamaa za mali, tamaa za kidunia e.t.c
 
Kuna watu wanaamini ukifa unazaliwa mara nyingine tena..unaweza kuzaliwa mtu yuleyule na sura ileile au kiumbe kingine. Wanadai maisha uliyoishi ndo yana-determine next life utazaliwa katika mazingira gani. Hili nimelisikia siku nyingi ila sijawahi kulitilia maanani maana mimi kwa imani yangu mtu akifa ndo mwisho wake anasubiria hukumu ni either uzima wa milele au moto wa milele lakini naona kadri siku zinavyoenda natamani kujua zaidi kuhusu hili..hii imekaaje mshana jr
Kwa jinsi ulivyo...Wewe unakwenda moja kwa moja motoni
 
Mshana uzi mzuri ila tofautisha kati ya hizi term "Pre Destination " na " For -ordination "
Nitakurudia Lakini nadhani hizi ni tafsiri zilizoletwa na tamaduni na imani zinazojaribu kukosoa ule ukamilifu wa kiasili wa kiroho.. Ni sawa na kufanya tohara
 
Screenshot_20220429-232319.jpg
 
Mshana uzi mzuri ila tofautisha kati ya hizi term "Pre Destination " na " For -ordination "
manabii walitawazwa kimbele (pre ordination) kuwa watumishi wa Bwana, wote wanaopokea ukuhani walitawazwa kimbele kwa wito huo, na Yesu Kristo alitawazwa kimbele kutunga upatanisho. Tofauti na kuamuliwa kimbele (pre destination), kutabiri kunaruhusu wakala binafsi (uwezo wa kuchagua kutimiza miito ya mtu).
 
Kama uyasemayo ni kweli basi mafundisho yoyote yanayo amini ktk hukumu ya mwisho si yakweli....
Kama tangu kuzaliwa ramani yako ya maisha imechorwa na huwezi badili lolote ktk ulimwengu wa roho, kwa nini kuwe na hukumu???

Najaribu kuwaza tu!
Nadhan kuna mkanganyiko mfano wote tunajua wachawi wanauwezo wa kukuua .je hapo haeajaingilia mchoro? Maisha mm naamin ni kama football mchezaji unaamua matokeo
 
Hapa umeongea kitu cha ukweli sana!na makanisa mengi ya kiroho yanasaidia sana kuvunja haya maroho kwa kutoa muongozo nini ufanye.Unaeza kuta familia ina liroho la kimasikini bila nguvu za Mungu na kuvunja mikataba ya kishetani iliyowekwa na mababu, huwezi kufanikiwa kamwe.
Namshukuru Mungu kwa ajili ya makanisa na wachungaji. Yani ilikuwa balaa shida juu ya shida.
 
Back
Top Bottom