Ulimwengu wa roho ni timilifu

Kama uyasemayo ni kweli basi mafundisho yoyote yanayo amini ktk hukumu ya mwisho si yakweli....
Kama tangu kuzaliwa ramani yako ya maisha imechorwa na huwezi badili lolote ktk ulimwengu wa roho, kwa nini kuwe na hukumu???

Najaribu kuwaza tu!
Hukumu yako itakuw ya kimwili nasi ya kiroho
 
Kuna watu wanaamini ukifa unazaliwa mara nyingine tena..unaweza kuzaliwa mtu yuleyule na sura ileile au kiumbe kingine. Wanadai maisha uliyoishi ndo yana-determine next life utazaliwa katika mazingira gani. Hili nimelisikia siku nyingi ila sijawahi kulitilia maanani maana mimi kwa imani yangu mtu akifa ndo mwisho wake anasubiria hukumu ni either uzima wa milele au moto wa milele lakini naona kadri siku zinavyoenda natamani kujua zaidi kuhusu hili..hii imekaaje mshana jr
Vyovyote iwavyo Khantwe wote tunazaliwa mara ya pili
Ufafanuzi wake huu hapa
Kwa sisi waamini wa Mungu mmoja tukifa tunaenda ama jehanam peponi(rebirth) ama kusubiri kiama (nitakufafanulia )
Na wenzetu waabudu miungu waamini katika hilo unalotaka kujua( reincarnation
Naomba upitie mada hii rebirth na reincarnation ni kitu kilekile nitakutag pia
 
NI kweli hiyo ipo huwa inahitwa Reincarnation

Kuna kitu kinaitwa Reincarnation ndio kinaelezea zaidi kuhusu kufa na kuzaliwa tena kwa mfano Mwl.Nyerere alipokufa wanasema atazaliwa Tausi ili aendelee kuishi Ikulu
Hizo imani zitakupeleka pabaya sana
Ila sikukatazi amini unavyoamini
 
Kama uyasemayo ni kweli basi mafundisho yoyote yanayo amini ktk hukumu ya mwisho si yakweli....
Kama tangu kuzaliwa ramani yako ya maisha imechorwa na huwezi badili lolote ktk ulimwengu wa roho, kwa nini kuwe na hukumu???

Najaribu kuwaza tu!
Hukuku ya mwisho ina pande mbili hasi na chanya! Pepo na akhera ....waendao peponi waliishi mchoro wao waendao jehanam waliusahihisha
 
Maisha yetu huwa yanasimamiwa na mikataba ya kiroho(maagano) ambayo either ilifanywa kati mababu, wazazi wetu au sisi wenyewe na miungu.
Viwango vya maisha vinafungwa kwenye mikataba hiyo na ndo maana level ya hali ya maisha inafanana sana kwenye familia au ukoo au hata kabila.
Mikataba hii inadumu hadi kizazi cha nne otherwise ujue jinsi ya kuifunja na kuingia mkataba mpya na Mungu Mwenye nguvu (Creator of universe)
Hapa umeongea kitu cha ukweli sana!na makanisa mengi ya kiroho yanasaidia sana kuvunja haya maroho kwa kutoa muongozo nini ufanye.Unaeza kuta familia ina liroho la kimasikini bila nguvu za Mungu na kuvunja mikataba ya kishetani iliyowekwa na mababu, huwezi kufanikiwa kamwe.
 
kwahiyo maisha tayari yapo framed, sisi tunafuata tu kama train kwenye railway!, kwahyo mfano jambazi yeye alipangiwa atazaliwa, ataishi itafika muda ataiba ataua halaf mwisho wa siku motoni, na wengine reli yao imenyooka hadi peponi!?
Kuna nguvu nje ya nguvu za kiroho zenye vita ya kiroho hizi ndio huharibu na kuangamiza
 
Sijui sijaelewa mada au vipi mkuu mshana ,mtu akibaka akaenda jela 30years inamaana limepangwa au limeingilia kati kutoka kwenye source nyingine
Tukianza safari kwenda mikoa miwili tofauti nia ni kufika salama lakini kumbuka njiani kuna changamoto nyingi
Je tunazishindaje na kufika salama?
Huwa tunaichafua michoro yetu tangu mwanzo....ukichunguza wenye kesi na vifungo vibaya historia yao imejaa ukengeufu mwingi....hawakuanza kuharibu sasa
 
Inategemea umepangiwa kupita njia gani katika maisha na na ushindi wa changamoto utakazokutana nazo na namna ulivyozitatua ama kwa utashi binafsi ama nje yake
kwahiyo kumbe unapangiwa!! so hata watakaoenda motoni wamepangiwa..? kuna haja gani sasa ya ibada kwa watu waliopangiwa kutupiwa motoni.

pili umesema ulimwengu wa roho ni timilifu sasa kwanini uzalishe vitu visivyotimilifu..?
hauoni kama kuumba viumbe visivyo timilifu hlf ww wasema ni timilifu je si udhaifu huo..?
 
Back
Top Bottom