de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,726
- 21,314
Hii inakata sana mkuu, hatuwezi ku conclude namna hii tu. So you mean it's predestined? Na hakuna haja ya kujaribu, hakuna haja ya kuchange? Na kama it's predestined kwanini tunajaribu kutafta mwafaka, it's like playing a loosing gameYeah kuna madaraja tangu kutungwa mimba mpaka kifo na hii sometimes inatokana na laana za ukoo ambazo huenda mpaka vizazi vinne...