Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,751
- 15,545
Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world)
Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,,
Sasa njoo nikupe a b c ujue nini kinaelezwa, ni elimu si watu wengi wanaijua ukweli wake na hapo ndipo tofauti zetu kiroho zinaanzia.. Elimu uliyo nayo niya kweli au ni fikra za mbovu
Ujinga sio sifa..
i. Kwanza elewa Mungu yeye yupo kwenye ulimwengu wake unaitwa - Ulimwengu wa umilele (hauna mwanzo wala mwisho),
Dunia na vyote vionekanavyo kwa macho ya nyama huo ni Ulimwengu wa mwili.
ii. Sasa kuna kitu kinaitwa Ulimwengu wa roho, kwanza kumbuka Roho ndio iliumba Dunia na mwili, wanyama na miti kwahiyo basi hivyo ni part tu ya vitu vilivyomo kwenye Ulimwengu wa roho,
iii. Ulimwengu wa roho umebeba kuanzia kila kitu unacho kiona, na katika ulimwengu wa Roho kuna makazi mengi, Sayari nyingi, na maanisha Space kubwaaaa, Dunia ni kanafasi kadogo sana ndani ya Ulimwengu wa roho.
iii. Baadhi ya makazi au space zinazopatikana Kwenye ulimwengu wa roho ni kama Dunia, Kuzimu, Motoni, Makazi ya Mapepo, Makazi ya miungu, Mbingu ya kwanza, Mbingu ya pili, mbingu ya tatu, makazi wanapokaa malaika,
Yesu alisema maneno haya Nyumbani kwa baba yangu kuna makao Mengi, Kwahiyo Kuna vitu vingi sana Roho ya Mungu inaviendesha na vipo lakini sisi hatuvijui.
iv. Wanaposema kila jambo linaanzia rohoni ni kwamba, Kabla haijapatikana Nguvu ya mwili kufanya jambo lolote au kitu chochote kutokea duniani ni kwanza kinaanzia rohoni,
Wazo la kujenga Nyumba, ni kwanza ulimwengu wa roho kukubali au Mungu Mwenyewe kusema sasa ni wakati wa Mtu kupata wazo la kujenga nyuma,
Ni kama siku Adamu anampata Eva, Adamu alisota kumpata Eva, kwani Mungu roho kwa wakati wake akaruhusu rohoni na kisha majibu yanakuja baadae mwilini, kila jambo mwilini liaanzia rohoni.
Ulimwengu wa Roho ndio baba lao,
v. Kwahiyo wakati binadamu anazaliwa hapa dunia tayari katika uliwengu wa roho inaonekana hapa duniani atakua nani, atazaa watoto wangapi, siku gani...
vi. Mwanadamu ni kiumbe cha kiroho chenye mwili. Mwanadamu anaishi ulimwengu wa roho (Spiritual realm) na ulimwengu wa mwili (Physical realm) kwa wakati mmoja.
Spiritual realm is faster than Physical realm. So spirituality matter more
Dunia ni kivuli Cha yale yanayoendelea Rohoni,
Duniani kuna kula, kucheka, kufanya kazi, kupigana, ... na Rohoni show ni hiyo hiyo but tukiwa tumevaa miili ya Ulimwengu wa Roho.