OK! Ila YouTube yake Ina access hata kwa Wifi hotspot ya Simu au mpaka USB WiFi dongle??
je ina accept multiple LNB katika kupokea signal kutoka katika setellite tofauti tofauti?
Ndio nilitaka kushangaa nimeona specifications kuna YouTube na youporn.Ndio inakubali marekebisho nimeikagua ina youtube option kupitia pale online movie unaweza tumia wifi au modem
Ndio nilitaka kushangaa nimeona specifications kuna YouTube na youporn.
Bado na mimi mkuu 0625648017Bado!Niunganishe mimi mkuu,0658218481
Ngoja niwaombe wakuunganishe!Bado na mimi mkuu 0625648017
Tbc na Channel ten ndyo kikwazo kikubwa hapo intelsat 906 kama na star tv nao wameanza kazi kweli kweli nikirudi home nita comfirmMbona Startv imekata hapa kwenye satellite ya Is906? Mwenye taarifa atujulishe.
Channel ten wapo ila kwa MPEG4 receiver pia TBC signal ni ndogo sana.Ila Star tv mpaka kwenye DSTV wamepotea.Tbc na Channel ten ndyo kikwazo kikubwa hapo intelsat 906 kama na star tv nao wameanza kazi kweli kweli nikirudi home nita comfirm
Kazi ipo maana start tv,Itv na channel ten siyo za kukosa kabsa kwa swala la habari,tbc hata ikifa siyo mbayaChannel ten wapo ila kwa MPEG4 receiver pia TBC signal ni ndogo sana.Ila Star tv mpaka kwenye DSTV wamepotea.
hata mm sipati pia natumia technosat t1000hdStar tv siku ya nne leo siipati.
Ch.10 naipata vizuri sana.
Ebu tuwekee pt za channel ten hapaStar tv siku ya nne leo siipati.
Ch.10 naipata vizuri sana.
hannel ten ingiza 4062 v 1330 nisaidieni tbc 1 m nna miezi 6 siipatEbu tuwekee pt za channel ten hapa