kiongozi hakuna kitu kama hii.
sema "Meyiii" all day long hakuna kitakacho kukuta.
Hizi ni imani potofu. Na imani husababisha Brain ku react. ukiamini Nazi iliotupwa njia panda inadhuru na ukaikanyaga au kuiruka huenda ukadhurika Psychologically lkn kama huamini hii kitu hata wakikuwekea nazi Lori zima hakuna kitakachokukuta.
Imani ina athari kubwa sana ktk Ubongo.
na Ubongo ndio inayo control mwili wako wote. ukiathirika basi kila kiungo kinaathirika.
kuna watu through imani tu wanaweza kupona maradhi mengi kwa kunywa maji ya kawaida tu. kikubwa waaminishwe kuwa yale maji ni dawa KUU yenye kuponyesha hicho wanacho ugua.
hakuna faida kuwatolea kashfa wenye imani hizi.Hehehe alafu sasa hivi una third eye?
Nakushauri ukamuone daktari wa magonjwa ya akili aliyekaribu na eneo lako.
[emoji2] [emoji2]hakuna faida kuwatolea kashfa wenye imani hizi.
huyo ndugu huenda akawa ni mmoja wa wahanga wa utapeli wa hawa wanaojiita viona mbali (waganga wa kienyeji)
kuna watu wanashirikiana na Majini kupotosha watu lkn Juu ya kufanya hivyo Abadan hawawezi kuwa na uwezo wa kuona yaliojificha au Yajayo.
hao majini ni Viumbe kama mimi na wewe japo kuwa wamepewa baadhi ya uwezo ambavyo sisi hatuna na sisi tuna baadhi ya uwezo ambao majini hawana.
lkn HAKUNA KIUMBE YYT Ana uwezo wa Kuona yanayokuja au yaliojificha.
huo ndio ukweli na Kama yupo yyt anaweza kufanya hivyo aje hapa anambie Mimi nina umri gani na nimeoa au bado na nina watoto au sina watoto. akifanya hivyo Mimi ntaimba "Meyiii Meyiii wiki mbili bila kupumzika.
Very simple.
Wiki mbili zitakuhusu [emoji2] [emoji2] subiri.hakuna faida kuwatolea kashfa wenye imani hizi.
huyo ndugu huenda akawa ni mmoja wa wahanga wa utapeli wa hawa wanaojiita viona mbali (waganga wa kienyeji)
kuna watu wanashirikiana na Majini kupotosha watu lkn Juu ya kufanya hivyo Abadan hawawezi kuwa na uwezo wa kuona yaliojificha au Yajayo.
hao majini ni Viumbe kama mimi na wewe japo kuwa wamepewa baadhi ya uwezo ambavyo sisi hatuna na sisi tuna baadhi ya uwezo ambao majini hawana.
lkn HAKUNA KIUMBE YYT Ana uwezo wa Kuona yanayokuja au yaliojificha.
huo ndio ukweli na Kama yupo yyt anaweza kufanya hivyo aje hapa anambie Mimi nina umri gani na nimeoa au bado na nina watoto au sina watoto. akifanya hivyo Mimi ntaimba "Meyiii Meyiii wiki mbili bila kupumzika.
Very simple.
niitieni yule mshana JWiki mbili zitakuhusu [emoji2] [emoji2] subiri.
Heshima kwako mkuu[emoji119] .niitieni yule mshana J
yeye si ndio anadanganya watu humu kuwa kuna binaadamu ana uwezo wa kuona kesho?
mengine huenda akasema namuonea.
Sasa aje anambie umri wangu tu. halafu ntajirekodi naimba nyimbo yyt anayotaka yeye wiki mbili mfululizo. Iwe meyiii au mayoooo! (kisukuma).
Najua uzembe wa wabongo kusoma zaidi ya haya 3 hawaambulii kitu. Niko nao kwa zaidi ya miaka 40;Unapenda ku jibu nusu nusu ili uulizwe au...si ueleze kitu umalize
Huyo siyo mtu!Sisemi kuwa ina madhara yoyote.ila nataka nijue huyoo meyiii meyiii ni nani ktk umimwengu huuu?,!! Na ana mamlaka yapi ktk ulimwengu huu mpk jina lake litumike kufungua mlango wa jicho la tatu?!!
Macho yanaepeleka taarifa kwenye occipatal lobe via optic nerveNajua uzembe wa wabongo kusoma zaidi ya haya 3 hawaambulii kitu. Niko nao kwa zaidi ya miaka 40;
JIbu langu japo ni kwa ufupi lakini liko wazi kabisa. Ina maana wewe hujui macho yako yanapeleka taarifa wapi?
Baada ya hapo ni kipi kinakupa tafsiri ya kile ulichokiona?Macho yanaepeleka taarifa kwenye occipatal lobe via optic nerve
Baada ya hapo ni kipi kinakupa tafsiri ya kile ulichokiona?
Unajua mambo mengine hayahitaji kuumiza sana kichwa! Hicho kinachokupa tafsiri uliwahi kukiona au uliambiwa tu![/QUOTE
Kinachokupa tafsiri huwezi kukiona...
Kwa hiyo unataka kusema..kujua jinsi center za ubongo zinavyo fanya interpretation(percepation) kuna siri kubwa nyuma yake?
Kinachokupa tafsiri huwezi kukiona...Baada ya hapo ni kipi kinakupa tafsiri ya kile ulichokiona?
Unajua mambo mengine hayahitaji kuumiza sana kichwa! Hicho kinachokupa tafsiri uliwahi kukiona au uliambiwa tu!
Ngoja siku moja nijaribu kwa mganga yeyote yuleNenda kwa mganga yyt hali ya kuwa una mke na watoto kisha kamwambie unatafuta watoto miaka mingi sana unataka akutazamie tatizo ni nini kama atagundua wewe una watoto.
Kumbe jibu unalo! Ipo siri kubwa sana tena sana!Kinachokupa tafsiri huwezi kukiona...
Kwa hiyo unataka kusema..kujua jinsi center za ubongo zinavyo fanya interpretation(percepation) kuna siri kubwa nyuma yake?
hakuna kitu kama hii Bro. hizi ni ndoto ambazo Holywood wamezipandikiza ktk vichwa vya watu.
asilimia 99 ya maneno ya watabiri wote na waganga wote NI UONGO.
Nimefanya Research miaka chungu mbovu.
Usipoteze muda wako kuzigeuza hizi fictions kuwa Reality. Hizi habari za 4 Dimension ziwache kwenye movie's tu. kinyume cha hapo utapoteza muda wako huenda ukadhurika kwa kulishwa UCHAFU na sumu na waganga wa kienyeji.
Katika dunia hii kuna watumishi wa aina tatu:-Ngoja siku moja nijaribu kwa mganga yeyote yule