Ulimwengu wa 001011000 - no analog

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,877
6,830
copmuterand+people.jpg


Ulimwengu wa leo tekinologia ya digital inaenea kwa kasi ya ajabu, kwani haichagui nahali, watu, rika nk
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,535
5,921
Ila walipopewa Wali, ilikuwa kasheshe.

Naipenda jinsi wanaonyesha kuwa kitu fulani ni kitamu.

Itabidi nianze na mie kutumia hiyo sign badala ya dole gumba juu....

 
Last edited by a moderator:

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Ukiangalia kwa umakini mkubwa utabaini kuwa hiyo laptop imepachikwa tu hapo miguuni kwa babu. Mambo ya teknolojia kucheza na picha ofisini tu mpaka kitu kinakamilika. Inaonekana kulikuwa na jambo jingine lililokuwa linafanyika na siyo hilo la babu kutumia laptop. Ni maoni yangu tu wajameni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom