kikokoti
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 678
- 275
- Thread starter
- #41
Maji ya Shingo mkuuKila jambo na wakati wake pambana na kila nyakati unazopitia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya Shingo mkuuKila jambo na wakati wake pambana na kila nyakati unazopitia mkuu
Nimependa nasaha zako mkuuUnatakiwa umshukuru Mungu kwamba una nguvu na afya bado!
Kuna jamaa mmoja nae analalamika hivyo ila alikuwa anaumwa miguu, imekatwa yote, hajui pa kuanzia, kuna mwingine bado hajaoa/ hajaolewa na hana watoto bado kaambiwa kuwa ameathirika na H.I.V, kapagawa!
Wengine ndo hao waliwekeza ktk nyumba, nyumba zao zinabomolewa, kazi hawana, na familia zinawategemea, ni karaha kwenda mbele!
Hivyo, shukuru Mungu una uzima na uwezo wa kujiinua mwenyewe, watu unaoposhana nao barabarani wana shida tofauti kubwa sana, ukizisikia na zao utaona wewe ni afadhari, hivyo piga moyo konde, keep on moving!!
Mtaji wangu mdogo kodi ya serikali kubwaPole kaka, kwani nawewe unamadeni mpaka umekamatiwa bajaji yako kutoka dukani?
Mkuu hizi vitu naomba msaada nielewe kidogo.Mkuu,
Pesa maua, muhimu uhai.
Ngoja tushirikishane experiences hapa, labda utapata faraja.
Alhamisi Donald Trump kasema mbovu ma Stock market yameanguka. Dow Jones imeanguka 274 points. Nimepoteza USD $23,000 katika masaa 18. Hizo ni kama shilingi milioni 52 za kibongo.
Na wala halijaninyima amani. Kwa sababu najipanga kuzirudisha zote na zaidi katika wiki chache zijazo.
Kwa hiyo inawezekana ukaona kwako kunaungua, kumbe kwa mwenzako kunateketea.
Kuna mtu kaambiwa ana ngoma leo, lakini anaishi kwa matumaini. Nini Uchumi?
Dow drops 274 points as Trump crisis grips Washington
khaaaaaaaaaaa bora nikomae na njaa yangu tu
Kuingia raha kutoka sasa mpaka leo nataka kutoka ila inakuwa ngumu,khaaaaaaaaaaa bora nikomae na njaa yangu tu
nyie ndo mnaoandika mabango ya marker pen nini??Kuingia raha kutoka sasa mpaka leo nataka kutoka ila inakuwa ngumu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie mwenyewe maji ya shingo nacheka tu
Subiri ya kwako,