Ulimwengu umeniendea kombo

Ulimwengu umeniendea kombo

Pole ndugu. Hata wenzio ni hivyo hivyo. Isingekuwa JF wengine tungeshafanya suicide attempts from stressing over n over. Maana kwa hali hii unashindwa hata la kuwajibu wanaokutegemea.

So, calm down and make strategies... B'coz trust me, this challenge is neither the last one nor the biggest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu kwa Uchumi kuporomoka. Siyo kwako tu, ni janga la wengi.

Pamoja na hilo, kuwa na la kushukuru. Una afya njema, unapumua vizuri na viungo vyako vinafanya kazi vema.

Kuna wengine pamoja na kuwa Uchumi na kudorora lakini wana hali mbaya kiafya, wana msongo wa mawazo na pengine wapo katika hatihati ya kukata roho.

Kuna Mhenga aliwahi kusema, kama unakula na kuvaa, mengine hayo ni ziada tu. Shukuru Mungu kwa hayo mawili.

Pili, kama afya yako i njema amini hata kesho utapambana na Uchumi wako utatengamaa.
Wale jamaa wa Kimara ndo wapo kwenye hali mbaya sana

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom