Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,320
- 33,125
Hizo za picha ya kwanza alikutwa nazo jamaa mmoja wa madawa ya kulevya,zilikuwa dola 250$ Millions.
Hhahahahah mimi ukinipenda ndio furaha yangu mkuu King'asti Mimi mpaka kuk Tag ujuwe nimekupenda usiwe an wasiwasi wewe ni wangu tu ila umeniudhi kitu kimoja lazima nikwambie mbona umeondowa ile Avatar yako ya Askari wa kike wa kijeshi? Rudisha ile avatar yako ninakuomba.MziziMkavu,usiwe unanitag thread zakonza vishawishi, nikianza kukulove usilalamike!
Sizitaki mbichi hizi!
Ulimwengu ndio huo Utajiri wa Dunia huoooooooooo....... Boflo ..........njooo huku upate pesa hizoooooooooooooooooooooo
Hhahahahah mimi ukinipenda ndio furaha yangu mkuu King'asti Mimi mpaka kuk Tag ujuwe nimekupenda usiwe an wasiwasi wewe ni wangu tu ila umeniudhi kitu kimoja lazima nikwambie mbona umeondowa ile Avatar yako ya Askari wa kike wa kijeshi? Rudisha ile avatar yako ninakuomba.